Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wana JF tuwe makini na Plastics please Ndugu zangu.

Kavideo ni only one minute please watch.
 
Wana JF habarini za wakati huu.

Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada

Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.

Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.

Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.

Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.

Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.

Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?

Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.

Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752

Nawasilisha.
Zinapata faida kubwa ambayo ni ile ya kudhibiti ongezeko la watu hasa katika nchi zinazoendelea. Hii ni kwa sababu muungano wa mwanamke na mwanaume ndo huongeza watu wakati LGBTQ ikitekelezwa hakuna mtoto anayezaliwa. Over.
 
tazama hii video fupi kuhusu efd receipts ili uuepuke ushoga.
 
Agenda ya Ushoga ni family planing sasa tumia akili ewe mwana JF.

Chunga familia yako kwa kuepuka Bidhaa za Plastic.
 
Wana JF habarini za wakati huu.

Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada

Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.

Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.

Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.

Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.

Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.

Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?

Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.

Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752

Nawasilisha.
Nchi za magharibi zimeshaharibikiwa na zinajisikia vibaya sana!! Kwa hiyo wanataka nchi zote ziharibikiwe ili wasionekane ni wao tu walio washenzi!
 
Kawapime Vijana wako wa kiume mara kwa mara Hormones imbalances.
 
Ushoga ulikuwepo tokea milele lakini huu wa sasa ni MLIPUKO unasababishwa na Plastic Chemicals pollution ambayo imekuwa ajenda.
 
Vilaza wa Wizara ya Afya na TBS wako kwa ajili ya matumbo yao tu.
 
Ndugu yangu hata kama huna bando angalia hii video ya dakika sita.

Zinaathiri hata Quality ya Shahawa zako na zinakufanya uwe Mgumba

So next time wakati Wabunge vilaza wa CCM wanaposema Mashoga yauwawe na kupelekea kifo cha Milembe Suleiman

RIP Milembe Suleiman.
 
Kwa nini baadhi ya mataifa ya Africa wana criminalize ushoga??
Kwa nini ushoga unafanywa jinai?
Maddili yao,tamaduni zao,ushoga unatishia humanity...ukinoga na ikawa kawaida,watu watakua extinct
 
Kwa serikali za nchi za Ki Africa zinaogopa ushoga ukiwa jambo la kawaida raia wake wengi watajiingiza katika ushoga, wataacha kuzaliana na hivyo kupelekea kutoweka kwa kizazi na binadamu katika nchi zao?
 
Wana JF habarini za wakati huu.

Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada

Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.

Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.

Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.

Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.

Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.

Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?

Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.

Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752

Nawasilisha.
Askari wao, kwa asilimia kubwa, wameisha'bunguliwa' na hilo pepo, kwahiyo, ili ku'balance' mambo, wanalazimisha na majeshi ya wenzao yafanane na lakwao! PERIOD!
😅
 
Nimewahi kuona akina Mama ntilie wakifunika wali na Ugali kwa kwa kutumia Plastics SCARY!

Mashoga wengi ni Victims wa BPA hii ni hatari.
 
Next time ukijisikia hamu ya kufirwa ujue BPA inafanya kazi.
 
Kwa kuwa ni swala lipo katika jamii kwa mda mrefu, huwezi kuchukuwa uamuzi wa haraka kama Museveni. Ni binadamu katika jamii, wamechagua hiyo starehe na ni haki yao kimsingi. Jibu ni kwamba nchi za magharibi wana uwezo mkubwa wa kufikiria ndio maana wakatumia "haki za binadamu". Naona Afrika dini imewatawala sana na kushindwa kuamua.
 
Back
Top Bottom