Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agenda ndio hiyo, wametuona kuwa sisi ni vilaza tusioweza kufanya Family planing.Population control...
Maddili yao,tamaduni zao,ushoga unatishia humanity...ukinoga na ikawa kawaida,watu watakua extinctKwa nini baadhi ya mataifa ya Africa wana criminalize ushoga??
Kwa nini ushoga unafanywa jinai?
Kwa serikali za nchi za Ki Africa zinaogopa ushoga ukiwa jambo la kawaida raia wake wengi watajiingiza katika ushoga, wataacha kuzaliana na hivyo kupelekea kutoweka kwa kizazi na binadamu katika nchi zao?Maddili yao,tamaduni zao,ushoga unatishia humanity...ukinoga na ikawa kawaida,watu watakua extinct
Askari wao, kwa asilimia kubwa, wameisha'bunguliwa' na hilo pepo, kwahiyo, ili ku'balance' mambo, wanalazimisha na majeshi ya wenzao yafanane na lakwao! PERIOD!Wana JF habarini za wakati huu.
Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada
Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.
Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.
Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.
Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.
Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.
Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?
Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.
Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga ?
View attachment 2617752
Nawasilisha.
Nadhani lengo ni kupunguza idadi ya Wajinga.Kwanza ni kupunguza idadi ya watu haswa Africa
Wenyewe wanataka kulinda haki ya kila mtu. Hata sisi baada ya kujua huo ni ulemavu baada ya miaka tutawatetea. Kwa sasa hatuna uwezo wa kufanya utafiti huo tunaangalia tamaduni na mila tu basi. Wale wameenda mbali zaidi na kugundua kwamba huo ni ulemavu ingawa kuna wengine wengi wanatumia mwanya huo kushabikia huo ushezi. In short, wenyewe wapo kitetea haki ya watuWana JF habarini za wakati huu.
Bila kuchelewa niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kwamba kwasasa kuna hili wimbi la mapenzi ya jinsia moja (ushoga na usagaji) lina make headlines sana duniani.
Na tumekuwa tukishuhudia zaidi nchi za magharibi zenye nguvu hasa Marekani na nchi za umoja wa Ulaya (EU) zikilazimisha uhuru wa watu wa mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini au zisizojiweza kiuchumi hasa za Africa.
Tumeona Uganda, Kenya n.k zikitishiwa kwa vikwazo vya kiuchumi kwa sababu tu ya kuweka sheria kali dhidi ya LGBTQ+.
Pia tukaona makampuni makubwa kama google na Micro-soft zikiionya Uganda kuwa taifa hilo litaangamizwa kabisa kiuchumi iwapo Museven atatia saini muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu wapenzi wa jinsia moja.
Na pia tumekuwa tukiona nchi hizo zenye nguvu duniani zikilazimisha mambo yahusuyo ukoloni mambo leo kwa africa kwa sababu tunajua huwa kuna faida kwao ili waendelee kuinyonya Africa au nchi za ulimwengu wa tatu ki-ujumla.
Sasa swali langu la msingi : Ni maslahi gani hasa labda kiuchumi,kisiasa au kijamii nchi za magharibi zitayapata iwapo sisi waafrica tutaruhusu ushoga ua usagaji ?
Mpaka wanatutishia vikwao that means hili jambo kwao lina advantage kubwa sana.
Sasa ni ipi hiyo advantage wanapata kwa sisi kuruhusu ushoga ? au ni hasara gani wanapata iwapo sisi tutakataa ushoga?
Nawasilisha.
Duuh....tumetegwa kila kona kwa sababu ya utegemezi wa serikali zetu, inasikitisha sanaTujichunge na hizi plastics kama inawezakakana tumia sahani za udongo BPA kwenye plastic inaongeza hormones za Kike kwenye mwili wa Mwanamme.
Plastic contains chemicals such as BPA and phthalates which are classed as endocrine-disrupting chemicals (EDCs). These can mimic or block natural hormones in our bodies and can contribute to hormonal imbalances.3 Oct 2022
Nchi kadhaa sasa hivi wanatumia BPA Free Plastics.
Hormones za kike zikizidi zinasababisha uume kusinyaa na matiti kutoka na zinafanya Mwanaume apate hamu ya kufirwa.
Usitegemee Serikali itakuja kupiga marufuku vyombo vya plastic zenye BPA hata siku moja wewe mwenyewe chukua hatua wewe mwenyewe Linda familia yako.
kwanini wewe unauona na halali ?Kwa nini baadhi ya mataifa ya Africa wana criminalize ushoga??
Kwa nini ushoga unafanywa jinai?
Hakuna wa kutulinda,tujilinde wenyewe.Duuh....tumetegwa kila kona kwa sababu ya utegemezi wa serikali zetu, inasikitisha sana
Kwa sababu uvutaji sigara ni halali, vimini ni halali, wanaume kutoboa masikio ni halali, michepuko ni halali, pombe na kitimoto ni halali.kwanini wewe unauona na halali ?
Kwa hiyo kwa kifupi wewe una wish kila kitu kiwe halali, kisiwepo cha NO hata kimoja 😕Kwa sababu uvutaji sigara ni halali, vimini ni halali, wanaume kutoboa masikio ni halali, michepuko ni halali, pombe na kitimoto ni halali.