mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
aisee 😂😂anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
aisee 😂😂anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
Halafu Kama ishu Ni wanyama. Mbona nao wanafanya?View attachment 2618241
Mahakama ipii hiyo?? Uongo mtupuu.Jaribu Ku Google upate maelezo Simba akifanya hivyo anakua ana maanisha nini kwa Dume mwenzie...kifupi hapo hamkazi isipokua anakua anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
Kuhusu vita ya mashoga sasa hivi wanapandishwa kizimbani kimya kimya kusomewa mashtaka...juzi nilikua Mahakama fulani nikawaona.
Wanafuta kisa naongea ukweli. Wanyama wanafanya ushoga wapo. Proof zipo ..watu wanasema hoo it's not natural wanyama hawafanyi haya wanafanya jiteteeni sasaWakupe tu Ban sasa hii thread unapost wanafuta unapost tena?
Una shilingi ngapi uje na mashahidi?Mahakama ipii hiyo?? Uongo mtupuu.
Haya umeongelea Simba... attachment nyingine kuhusu wanyama wengine mbona umeruka. Kuna ushoga Hadi kwa sokwe stadi zimefanyikaJaribu Ku Google upate maelezo Simba akifanya hivyo anakua ana maanisha nini kwa Dume mwenzie...kifupi hapo hamkazi isipokua anakua anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
Kuhusu vita ya mashoga sasa hivi wanapandishwa kizimbani kimya kimya kusomewa mashtaka...juzi nilikua Mahakama fulani nikawaona.
Ishu sio hii...watu wanatumia wanyama Kama kigezo...hoo binadamu mnashindwa na wanyama akili hoo hamna mnyama shoga. So nimeamua kuwaonyesha kua hizi story ni za uwongo.Kwa hiyo wakifanya Wanyama nawe wataka au me Sijaelewa 🙄
Unapenda sana pesa wee wakili?? Taja hiyo mahakama unaficha nn? Uongo mtupuu.Una shilingi ngapi uje na mashahidi?
Tuletee na hao wanyama wengine mashoga tuwaoneWanafuta kisa naongea ukweli. Wanyama wanafanya ushoga wapo. Proof zipo ..watu wanasema hoo it's not natural wanyama hawafanyi haya wanafanya jiteteeni sasa
Ingia mtandaoni research mwenyeweTuletee na hao wanyama wengine mashoga tuwaone
KUlikua na haja ya huu uzi kama info zote tuzitafute wenyewe mkuu?Ingia mtandaoni research mwenyewe
Fanya utafiti mwenyewe. Kuna chat GBT iulize maswali. Kuweni skeptical sio kila kitu unaskia unakubali ndo maana wazungu wanaendelea huku sisi tukikandamizwa. Sisi waoga na wavivu kufikiria nje ya tulichoaminishwa. Tunalazimisha kuishi kizamani na mnafanya maendeleo yaonekane dhambi au mabaya. Chaguo Ni lenu
Sina muda wa kuandika uwongo...ila jua ukifika pale kama una elements za uchele uchele utaungana na mwenzio.Unapenda sana pesa wee wakili?? Taja hiyo mahakama unaficha nn? Uongo mtupuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepewa evidence hutaki. Sio shida yangu. Ukweli haulazimishwi...mi sio mchungaji nikwambie usiponijengea hoteli unaenda motoni ...mi nakupa data natembeaKUlikua na haja ya huu uzi kama info zote tuzitafute wenyewe mkuu?
Uongoo mtupuuu huu, story yako ya kubumba, taja mahakama, unaficha nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina muda wa kuandika uwongo...ila jua ukifika pale kama una elements za uchele uchele utaungana na mwenzio.
Ningepata nafasi tarehe 20 na kadhaa ningeenda kuhudhuria pale Mahakamani nipate uzoefu wa kesi za mapunga zinavyoenda
Ila kapunga chenyewe kachafuu, kamelegea, kajichubua...anaulizwa wewe jinsia gani anajibu mwanaume...sauti ya kike kabisa.
Sasa kua na sauti ya kike ni kosa lake. We ungezaliwa na hormonal imbalance afu ukafungwa kisa sauti ya kike ungeona sawa. Fikiriaga kwa akili bacSina muda wa kuandika uwongo...ila jua ukifika pale kama una elements za uchele uchele utaungana na mwenzio.
Ningepata nafasi tarehe 20 na kadhaa ningeenda kuhudhuria pale Mahakamani nipate uzoefu wa kesi za mapunga zinavyoenda
Ila kapunga chenyewe kachafuu, kamelegea, kajichubua...anaulizwa wewe jinsia gani anajibu mwanaume...sauti ya kike kabisa.