sasa nikuchekeshe, kuna mteja kaja dukani, duka la nguo za kiume akakuta t-shirt ina rangi kama ya rainbow, baba lijitu lizima linaulizaje ety daah hii tshert haikuletei shida kuuza, nikamuuliza kwanini? Ety si ya wenzetu upande wa pili wanaotaka haki zao, nikamwambia ni kweli KWA tafsiri yako upo sahihi lakini kwangu mimi huo ni upinde mvua sijajua hao unaowaita wenzenu hiyo bendera waliianzisha lini. Likabaki linasema daah hili janga hili, mbaba mtu mzima akili imejaa kamasi tu hamna linachowaza