Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Niliona ka clip nikaambiwa ni fiesta Mtwara, mwanaume kasaura amebaki na kiboksa anatingisha kalio. Nkasema haya ya watandawazi
viongozi wetu wanatuangusha sana, Watu wa hv wanapaswa kutupwa jera, ushoga ni laana
 
Umaarufu wa wasanii unasukumwa na mambo mengi,unaweza ambiwa fanya mambo ya kishoga,toboa pua,vaa kikuuku mguuni, shiriki mapenzi ya jinsia moja nk
Full ushetani yaani

Ova
 
Huenda ni sheria za Siri katika ulimwengu wa roho ili afanikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…