Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Duuuh.
 
Hawajui hayo mambo yakishaonekana kawaida kwenye Jamii, Baada ya miaka 30 ijayo, Nchi itakosa nguvu kazi

Idadi ya watu inaweza kushuka kwa watu kupunguza kuzaliana, Mwanaume anayeingiliwa hawezi kuwa na misuli ya kumpa mimba mwanamke tena
Gran Pah hii umeitoa wapi? Ndio Bios ilikuambia hivyo km mnavyosemaga au?
Mengine muwe mnakaa kimya, kuliko kuongea au kusema ukafanya hata wale walioamini una kitu, wakaanza kupata mashaka juu ya ufahamu wako wa mambo.
 
Aisee yani unakuta kidume anakata viuno na makebo kama binti wa kizaramo

Kudadeeeeeki🤢🤢🤢
 
#Hali ni mbaya

Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga?

Hata kama wewe hufanyi ule usodoma,haimanishi uko salama

Mfanyaji na mfanwaji wote ni mashoga,kama wew ni mfanyaji huwez kusema wewe siyo shoga.
WEWE NI SHOGA TU..!!

KUWADI hauna utofauti na mke wa nabii Luti
Uko kundi moja na mashoga.

#Hali ni mbaya
 
Subiri wanakuja kukushukia km mwewe. Ila sahivi wako buzzy na case ya lissu mahakamani.
 
Lakini yote kwa yote leo naona hapa kuna wakili jinsia ke kwakweli ananikosha moyo nasubiri baada ya break nimuombe aje kunifanyia mahojiano nyumbani jioni
Wachaa wee!!
 

Wanalipwa ndiyo maana wanatetea...ripoti ya Mwakyembe ilionyesha Kuna NGO hapa Nchini zaidi ya 120 Zina support Ushoga nchini zipo Kila Mkoa

Mchungaji Mstaafu KKKT - Hananja anasema Kila Mwaka wanamualika kule Bagamoyo kwenye vikao vyao kuwaombea, na hiyo mikutano yao huko Bagamoyo inagharimu $ 400,000 kwa siku posho ni TZS 100,000
 
#Hali ni mbaya
Had wachungaji wanaenda kula posho za maombi
 
Sheria za ubakaji na sheria za jinsia tulizo tunga ndiyo nguvu kuu inayo zalisha ushoga nchini . kubwa inayo
 
Hivi kuna mwanamke duniani hii, kwa akili zake timamu, bila influence ya kitu chochote mfano pesa, njaa anatamani kuingiliwa kinyume na maumbile??
Niliwahi kumpata Muumini mmoja (Msomi Mzuri tu na ana Kazi yake Benki) tena akiwa katoka Ibadani kwa Mwamposa Kawe na akajaa katika Mfumo wangu na nilipoenda Kumkaza baada ya Kumkaza yeye Mwenyewe akaniambia nimbandue nyuma (nimfire) na ndiyo ulikuwa mwisho wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…