secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sijui kama nimewanyanyapaa, ila kama watatafsiri hivyo ni sawa tu.Ushawanyanyapaa kwa ubaya, ila ama hujui, ama unajificha tu nyuma ya "wala si kwa ubaya".
Sijui kama nimewanyanyapaa, ila kama watatafsiri hivyo ni sawa tu.Ushawanyanyapaa kwa ubaya, ila ama hujui, ama unajificha tu nyuma ya "wala si kwa ubaya".
Umewanyanyapaa, ila inawezekana wewe ni mjinga sana hujajua kuwa umewanyanyapaa.Sijui kama nimewanyanyapaa, ila kama watatafdiri hivyo ni sawa tu.
Sidhani kama kutaka kujua kinachofanya watu wawe mashoga ni kuwanyanyapaa, ni sawa na kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali.Umewanyanyapaa, ila inawezekana wewe ni mjinga sana hujajua kuwa umewanyanyapaa.
Na unaishi kwenye jamii ambayo haiheshimu uhuru wa mtu binafsi na imezoea mpaka watu kutekwa tekwa ovyo na kuuawa uawa kama wadudu tu, na minority rights haziheshimiwi, kwa hiyo kumnyanyapaa mtu wa minority si ajabu.
Ndiyo maana unamnyanyapaa mtu halafu hujui kuwa unamnyanyapaa.
Jamii yako isha normalize kunyanyapaana, kupigana, kuuana.
Haina utu.
Hujataka kujua, ungetaka kujua usingetumia lugha ya kunyanyapaa.Sidhani kama kutaka kujua kinachofanya watu wawe mashoga ni kuwanyanyapaa, ni sawa na kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali.
Au kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali nako ni kuwanyanyapaa?
Ooh! Basi mashoga wote wanisamehe kama nimewakwaza.Hujataka kujua, ungetaka kujua usingetumia lugha ya kunyanyapaa.
Au pengine kama nilivyosema, wewe ni mjinga sana kwenye haya mambo (ujinga kwa maana ya kutokujua kitu, si tusi), hujui tofauti ya kutaka kujua na kunyanyapaa, kile wewe unachokiona kutaka kujua ni kunyanyapaa.
Ni kama mzungu akaja na kuwauliza watu weusi "Why are you niggers so black?"
Yani hata kama hajuii neno "niggers" kulitumia yeye ni neno la kunyanyapaa, na anataka kujua kwa nini hao watu ni weusi tu, huo ni ujinga wake tu, lakini kashawanyanyapaa kwa kutumia hilo neno.
Mimi sikulaumu najua unaishi katika jamii yenye matatizo mengi sana.Ooh! Basi mashoga wote wanisamehe kama nimewakwaza.
Pia wajiamini bila kujali nini watu watasema juu yao, maana si kila mtu atapendezwa nao.
Ili nisiendelee kuwanyanyapaa, kwa kuwaita mashoga, niambie ni neno gani sahihi nitumie kuwaita. Kama hutajali.Mimi sikulaumu najua unaishi katika jamii yenye matatizo mengi sana.
Yani naweza kukulaumu wewe kwa kunyanyapaa, wakati huna jinsi, hata lugha yako yenyewe imekaa kunyanyapaa.
Una matatizo, lakini tatizo kubwa zaidi si wewe ni jamii yako, kuna matatizo ya kijamii kwenye jamii yako.
Hilo neno mashoga lenyewe ni la kunyanyapaa.
You don't even have the words!
Nishakueleza kuna tatizo la kijamii hata lugha yako haina maneno sahihi yanayoeleweka katika jamii.Ili nisiendelee kuwanyanyapaa, kwa kuwaita mashoga, niambie ni neno gani sahihi nitumie kuwaita. Kama hutajali.
Kwa heshima yao nitawaita wapenzi wa jinsia moja.Nishakueleza kuna tatizo la kijamii hata lugha yako haina maneno sahihi yanayoeleweka katika jamii.
Shoga is basically equivalent to "sissy" in English, which is offensive.
On top of that, it is inexact and poorly defined.
But then again, exactitude and definition is not a big priority in your culture.
Ndio wewe huyu?
Kuna mmoja alifanyiwa sherehe eti ya "kufagia" ni nini hiyo? Ila niliambiwa ni mambo ya kishoga, niliishiwa nguvu.Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.
Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!
Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.
Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Kuna mpaka zile za kishirikina, eti kwa wiki mara moja, wiki ikipita kabla hujafanya au kufanywa umeharibu masharti.Duh,
Mimi naona tukupe wewe hiyo KAZI wawe wana kufira, kupunguza NYEGE.My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.
Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774
![]()
BBC Swahili
Askofu wa zamani wa Australia afungwa jela kwa kuwanyanyasa kingono vijana https://bbc.in/3TDll7nwww.facebook.com
Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
Vipi kuhusu Pemba?Vipi kuhusu Pemba