Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.

Napinga tamko lifuatalo: Misimamo ya Baadhi ya Dini Kutoruhusu Viongozi Wao Kuoa Wanachochea Tabia za Ulawiti na Ushoga

Mheshimiwa ChoiceVariable tamko lako halijasindikizwa na ushahidi, linatumia misamiati kizembe bila kutofautisha maana zake, na linawavunjia heshima baadhi ya watu wenye heshima zao bila uhalali. Nitaeleza.

Maneno kwamba "Wanachochea Tabia za Ulawiti na Ushoga" hayaeleweki, na kusudi maelezo yako yajibike yanapaswa kuhaririwa kwa kuzingatia ufafanuzi ufuatao.

Mimi ni mwanasayansi, Ex-seminarian, na kwa sasa Mlei MKatoliki, na ni mwanachama wa CPT ambaye niko katika retreat-status kwa sababu ambazo sio za muhimu hapa. Kwa kuzingatia background hiyo niseme haya:

(a) Maneno "[Wanaohimiza Useja] Wanachochea Tabia za Ulawiti" hayana mantiki kisayansi

1. Useja ni hali ya mwanamume ambaye ni rijali (heterophilic male) kuishi bila kuoa.

2. Urijali wa kiume ni hali ya kimaumbile, ambapo mwanamume kuwa na hazina ya ashiki zinazomwelekeza kumfukuzia mwanamke ili wakafanye ngono ya kutombana.

3. Mwanamume ambaye anayo sifa asilia ya Urijali wa kiume hawezi kudindisha mboo kwa sababu ya kumtamani mwanamume mwenzake.

4. Kwa hiyo, useja hauwezi kuchochea ulawiti, kama inavyodaiwa, isipokuwa kama mseja anazo chembechembe za kishoga tangu mwanzo.

(b) Maneno "[Wanaohimiza Useja] Wanachochea Tabia za ... Ushoga" hayana mantiki kisayansi

1. Ushoga ni hali ya maumbile anayozaliwa nayo mtu na ni tofauti na kitendo cha ulawiti kinachochaguliwa na mtendaji.

2. Maumbile ni hali iliyo nje ya matakwa na ubunifu wa binadamu, japo useja ni uamuzi wa hiari wa kibinadamu.

3. Kwa hiyo, haiwezekani hali ya useja wa kuajichagulia ukabadilisha maumbile.

Baada ya kusema hayo nibainishe kuwa leo umeanguka kwenye mtaro mmoja na baadhi ya hao "waseja" unaowashambulia, kwa sababu ya wao kushikilia misimamo kama yako. Nitaeleza kwa kifupi.

(c) Maneno "[Wanaohimiza Matumizi ya Kondomu] Wanachochea Tabia za Ulawiti" hayana mantiki kisayansi

Hoja niliyoitoa hapo juu kwenye kipengele cha (a) inahusika hapa, with minor adjustments.

(d) Maneno "[Wanaohimiza Matumizi ya Kondomu] Wanachochea Tabia za ... Ushoga" hayana mantiki kisayansi

Hoja niliyoitoa hapo juu kwenye kipengele cha (b) inahusika hapa, with minor adjustments.

Hitimisho:

KIsayansi: Mtazamo na fikra sahihi ni kama ifuatavyo:

(e) Urijali ni hali ya kimaumbile inayomsukuma mtu kutombana na mtu wa jinsia tofauti.

(f) Ushoga ni hali ya kimaumbile inayomsukuma mtu kufirana na mtu wa jinsia yake.

(g) Useja ni mtindi wa maisha unaochaguliwa kwa hiari, kiasi kwamba, mtindo huo hauwezi kubadilisha maumbile ya mseja.

(h) Mseja anayefanya ulawiti anakuwa ni mseja ambaye ni shoga, sio kwa sababu amekuwa mseja, bali kwa sababu amezaliwa hivyo.

Q.E.D.

Mjadala uendelee.
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
kaingiwa na pepo huyo kiongozi wa dini unataka kupakazia taasisi yote? Huo ni uchizi.
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
Kijana wangu aliupenda sana Upadre hadi akawa "Ministrant" (Mtumikiaji) katika Kanisa la Mtakatifu Karoli Lwanga, Nyegezi (Jirani na Nganza Sekondari), lakini nilipoanza kusikia taarifa za huyu Askofu wa Australia, mara Askofu Mkuu wa Jimbo Moja huko Marekani kajiuzulu kwasababu Mapadre walikuwa "wankula migongo" na mara Paroko wa UDSM akafungwa kwa "kula migongo" ya watoto watumikiaji, nilihakikisha sio tu hatumikii bali hata Kanisani HAENDI tena!

Na ndio maana nikiwaona akina Padre Dk. Kitima wanaropoka eti haki haki, nawaangaliaaaaaaaa!!!
 
View: https://www.youtube.com/shorts/UlR3vOkEBr0
 
mtoto wa shekhe

AGAINST HASTY GENERALISATIIN FALLACY

The error in reasoning that involves mistaking a few for many is most commonly known as a hasty generalization.

Depending on the specific context of the argument, it can also be referred to by a few other closely related terms:

• The Fallacy of Small Numbers: This occurs in statistics and data analysis when a person draws a broad conclusion about a whole population based on a sample size that is far too small.

• Misleading Vividness: This happens when a small number of dramatic, memorable, or vivid events are mistakenly believed to represent a widespread trend, completely ignoring broader statistical evidence.

• Anecdotal Fallacy: This is the tendency to rely heavily on personal stories or isolated examples to support a claim, treating a few personal instances as proof of a universal rule.

When applied to a highly sensitive and emotionally charged topic, this fallacy typically manifests as taking a small number of documented, high-profile cases and using them to make a sweeping claim about an entire group.

In everyday arguments, a hasty generalization on this subject usually looks like this:

The Argument:

"I have read multiple news reports about priests who were arrested for sodomizing altar boys. Therefore, the vast majority of Catholic priests are sexual predators, and the entire institution is inherently designed to protect this specific behavior."

Why this fits the fallacy

• The "Few": The argument relies on a specific number of publicized legal cases, investigative reports, or personal anecdotes.

• The "Many": The argument projects those specific cases onto the global population of hundreds of thousands of priests worldwide, assuming that what is true for a fraction is true for the whole.

• The Logical Flaw: While the documented cases are real, tragic, and legally established, a conclusion about the entire population of priests cannot be logically drawn solely from those cases without analyzing broader, comprehensive statistical data regarding the actual percentage of the population involved.

To counter a hasty generalization effectively without dismissing the gravity of documented cases, a counter-argument should be structured around proportionality, statistical context, and compositional logic.

A robust structure follows three distinct steps:

[ Step 1: Acknowledge the Truth ] ➔ [ Step 2: Highlight the Logical Leap ] ➔ [ Step 3: Present the Statistical Reality ]

1. Acknowledge the Valid Evidence (Establish Common Ground)

Never deny the documented facts or the severity of the specific cases mentioned. Acknowledging the tragedy prevents the argument from devolving into an emotional defensive match.

Example: "The documented cases of abuse within the institution are deeply tragic, indefensible, and completely real."

2. Highlight the Fallacy (Identify the Logical Leap)

Point out the error in scale—specifically, that the conclusion assumes a small sample represents the entire population.

Example: "However, it is a logical error to take the horrific actions of a specific percentage of individuals and project them onto hundreds of thousands of others based solely on shared employment or faith."

3. Introduce the Broader Context (The Statistical Reality)

Shift the focus from anecdotes to comprehensive data, emphasizing that a group's identity does not make its members universally uniform.

Example: "To make an accurate claim about the whole group, we have to look at global data. Statistically, the vast majority of priests are not involved in these crimes. Defending the innocent majority does not diminish the necessity of prosecuting the guilty individuals."
 
Umeandika extensions fallacious arguments, but the truth stays that there are a lot of sodomy tendencies in Catholic Monasteries around the world.

Evidences are everywhere. If you want them, just ask!
 
Mtoto wa Shule

I want them here and now
Mtoto wa Shule

I want them here and now
Clergy sexual abuse refers to allegations, investigations, and criminal or canonical proceedings involving religious leaders (primarily within the Roman Catholic Church) who have committed sexual misconduct or child sexual abuse.

Global Scale and Data

• Estimated Rates: The Holy See has acknowledged that between 1.5% and 5% of Catholic clergy have been involved in sexual abuse cases over the past 50 years.
• United States Database: The List of Priests Accused of Abuse tracks over 6,000 accused U.S. clergy members, with historical data like the John Jay Report showing that roughly 4% of U.S. clergy faced credible allegations.
• Systemic Concealment: Investigations worldwide have frequently highlighted a past pattern of "priest shuffling"—reassigning accused clergy to new parishes instead of immediately reporting them to law enforcement.

Institutional and Legal Responses

• Vatican Reforms: Pope Francis and the Holy See introduced new accountability rules, including Vos estis lux mundi, which mandates the reporting of abuse and cover-ups to church authorities, and the removal of the pontifical secret for such cases.
• Legal Action: Survivors can file civil lawsuits or report crimes to local police regardless of whether an accused individual appears on internal church databases. In many regions, new state and national laws mandate strict timelines for institutions to report allegations to civil law enforcement.

NEED MORE evidence fella?
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
Mtu ana afya kamili anadinda halafu anaambiwa asioe?..Acha awakaze masista na watoto...
 
Mtoto wa Shule

I want them here and now
Padri Sixtus Kimaro, aliyekuwa wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es Salaam, aliwahi kuhukumiwa kifungo cha miaka 35 jela mnamo Julai 2006 baada ya kupatikana na hatia ya ulawiti.
Maelezo muhimu kuhusu kesi hiyo:
Hukumu ya awali: Alihukumiwa kwenda jela miaka 35 mwaka 2006 kwa kosa la ulawiti na udhalilishaji.
Kufutwa kwa hukumu: Baadaye, mnamo Desemba 2017, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitupilia mbali hatia hiyo na kumwacha huru baada ya kubainika kuwa upande wa mashtaka haukuweka ushahidi wa kutosha.
Hali ya sasa: Alivuliwa daraja la upadri na kuwa Mlei. Alifariki dunia nchini Msumbiji mnamo Novemba 2014 na mwili wake ulisafirishwa kuleta Tanzania kwa ajili ya maziko.

KAMA HAKULAWITI KWANINI KANISA LILIMVUA DARAJA LA UPADRE NA KUWA MLEI? Hahahaha!!!
 
Clergy sexual abuse refers to allegations, investigations, and criminal or canonical proceedings involving religious leaders (primarily within the Roman Catholic Church) who have committed sexual misconduct or child sexual abuse.

Global Scale and Data

• Estimated Rates: The Holy See has acknowledged that between 1.5% and 5% of Catholic clergy have been involved in sexual abuse cases over the past 50 years.
• United States Database: The List of Priests Accused of Abuse tracks over 6,000 accused U.S. clergy members, with historical data like the John Jay Report showing that roughly 4% of U.S. clergy faced credible allegations.
• Systemic Concealment: Investigations worldwide have frequently highlighted a past pattern of "priest shuffling"—reassigning accused clergy to new parishes instead of immediately reporting them to law enforcement.

Institutional and Legal Responses

• Vatican Reforms: Pope Francis and the Holy See introduced new accountability rules, including Vos estis lux mundi, which mandates the reporting of abuse and cover-ups to church authorities, and the removal of the pontifical secret for such cases.
• Legal Action: Survivors can file civil lawsuits or report crimes to local police regardless of whether an accused individual appears on internal church databases. In many regions, new state and national laws mandate strict timelines for institutions to report allegations to civil law enforcement.

NEED MORE evidence fella?

No, That is enough.

You has reported:

"The Holy See has acknowledged that between 1.5% and 5% of Catholic clergy have been involved in sexual abuse cases over the past 50 years."

This means that:

"The Holy See has acknowledged that between 98.5% and 95% of Catholic clergy have NOT been involved in sexual abuse cases over the past 50 years."

This fact proves my case: Hasty generalisation fallacy on your part.
 
Kijana wangu aliupenda sana Upadre hadi akawa "Ministrant" (Mtumikiaji) katika Kanisa la Mtakatifu Karoli Lwanga, Nyegezi (Jirani na Nganza Sekondari), lakini nilipoanza kusikia taarifa za huyu Askofu wa Australia, mara Askofu Mkuu wa Jimbo Moja huko Marekani kajiuzulu kwasababu Mapadre walikuwa "wankula migongo" na mara Paroko wa UDSM akafungwa kwa "kula migongo" ya watoto watumikiaji, nilihakikisha sio tu hatumikii bali hata Kanisani HAENDI tena!

Na ndio maana nikiwaona akina Padre Dk. Kitima wanaropoka eti haki haki, nawaangaliaaaaaaaa!!!
Askofu Mkuu wa Jimbo Moja huko Marekani kajiuzulu kwasababu Mapadre walikuwa "wankula migongo" hamnaga hii kabisa.

bora umejiita hivyo maana unaakiili ndogo mno.
mwanaume auna msimamo unaishi kwa kusikia.
sasa hapo ngoja mtoto wako ambaye hana hofu ya mungu qwenzake wachezee mgogngo ndio utajua hujui.
unamnyima mtoto wito wake kisa umesikia na mambo hayo yapo toka dunia kuumbwa na toka hujazaliwa
 
No, That is enough.

You has reported:

"The Holy See has acknowledged that between 1.5% and 5% of Catholic clergy have been involved in sexual abuse cases over the past 50 years."

This means that:

"The Holy See has acknowledged that between 98.5% and 95% of Catholic clergy have NOT been involved in sexual abuse cases over the past 50 years."

This fact proves my case: Hasty generalisation fallacy on your part.
"The Holy See has acknowledged that between 98.5% and 95% of Catholic clergy have NOT been involved in sexual abuse cases over the past 50 years."

Ahahahahaha!! For your point of view, "God Bless The Catholic Church " for doing a few Sodomy practices! Ahahahahaha!!

NIMEKUSOMA!👍👍👍👍
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.
View attachment 3685774

Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
Unataka kutukanwa Sheikh.

Hao wanalawiti au kubaka sababu ya nature ya miili kupumua kwa jinsi hiyo.

Na wale wenye wake wanne ambao wanalawiti na kulawitiwa wakiwa wamevaa kobaz na kanzu sababu ni nini ?
 
Askofu Mkuu wa Jimbo Moja huko Marekani kajiuzulu kwasababu Mapadre walikuwa "wankula migongo" hamnaga hii kabisa.

bora umejiita hivyo maana unaakiili ndogo mno.
mwanaume auna msimamo unaishi kwa kusikia.
sasa hapo ngoja mtoto wako ambaye hana hofu ya mungu qwenzake wachezee mgogngo ndio utajua hujui.
unamnyima mtoto wito wake kisa umesikia na mambo hayo yapo toka dunia kuumbwa na toka hujazaliwa

"Key Resignations of U.S. Catholic Bishops

• Bishop Richard Stika (Knoxville, Tennessee): Resigned in June 2023 at age 65 (10 years before the mandatory retirement age) following a Vatican investigation into accusations that he mishandled sexual abuse allegations and protected a seminarian.
• Bishop Richard Malone (Buffalo, New York): Resigned in December 2019 amid intense public pressure, over 200 lawsuits, an FBI investigation, and leaked audio files exposing the mishandling of sexual abuse complaints.
• Bishop Alexander Salazar (Los Angeles, California): Resigned as auxiliary bishop in December 2018 after an archdiocesan board found credible an allegation of misconduct with a minor dating back to the 1990s.
• Cardinal Donald Wuerl (Washington, D.C.): Resigned in October 2018 after being heavily criticized in a Pennsylvania grand jury report for his role in concealing clergy abuse during his prior tenure as archbishop of Pittsburgh.
• Cardinal Theodore McCarrick (Washington, D.C.): Resigned from the college of cardinals in July 2018 (and was later laicized by the Vatican) following credible allegations of sexual abuse of a minor and misconduct with adult seminarians."

KAMA UKIIBISHIA HII, MIMI NI NANI ZAIDI YA KUWA Mtoto wa Shule?
 
Back
Top Bottom