Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ile sinza balaa
Tabata alaa
Kinondoni balaa
 
Mlishawapa airtime kwenye media,sanaa,wengine wako kwenye biashara na mnawafatlia
Pambaneni na hali zenu,muishi nao
Matamasha,dhifa za serikali si mnawaalikaga bana na mnajuwa fika ni upande ule

Ova
 
Wa kulaumiwa ni wanaowafanya waamini wao ni mabinti. Wanaohitaji huduma zao.
Wanaofanya hayo ni wanawake nilikuwa pale Mwananyamala hospital siku moja nikawaona vijana mfano wa hawa kwenye salon za kike na mijiaanamke mikubwa mikubwa hivi inacheka cheka nao hovyo.

Kuna wanawake wana roho mbaya sana niliuliza mbona hivyo nikajibiwa hao ndiyo huwatafutia mabwana yaani instead wawakanye huo ujinga wao ndiyo wamekuwa madalali wao.
 
Hao mabwana hao ndo tatizo. Ukiwafuta hao umetatua tatizo kwa sehemu kubwa.
 
Shuguli za kina masha ❤️ hizo 😄 balozi wa makampuni role model wa vibinti

Ova
 
Shuguli za kina masha ❤️ hizo 😄 balozi wa makampuni role model wa vibinti

Ova
Inasikitisha bro,yaani mama anamtafutia bwana mtoto wa kiume wa mwanamke mwenzake akamtindue aisee hawa wanawake hawa!

Mimi ndiyo maana hata huruma sina nikisikia mwanamke ameuawa naona wote sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…