Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ushauri wangu hizi sexual fantasies zinahitaji nidhamu sana

Wengi wanatamani kuzifanya waone inakuwaje raha yake

Yaani ni kama mtu anyetazama sana porno kadiri anavyoendelea kutazama inafika kipindi zile za kawaida anakuwa hana mzuka nazo ndivyo anavyotamani atazame porno chafu zaidi
 
Kwa kweli, upo sahihi. Kufirana na kuwekana ni vitu tofauti kabisa, vitenganishiwe.

Hila sodoma walizidi walikuwa wanatongoza hadi wajumbe wa Mungu ndipo Mungu akakasilika pamoja na ushoga kwahio sodoma na gomora waliangamizwa kwa makosa mengi sana sio moja
 
Hari inatisha sana inafikia wakati unawaza unakiachaje kizazi chako, Mungu atusaidie kwa kweli
Kukiombea ili hio roho isiwavae.Agenda yao ni ngumu kuikwepa wameshaiingiza hadi kwenye katuni,na dada Kazi ndio mda mwingi ushinda na watoto nyumbani,wao hawana elimu ya malezi sababu wametoka vijijini tv wamezikuta mjini.
Huwezi shindana na spirit Kimwili
 
Unawalipa kuwagonga au wao ndio hukulipa? je pesa za kuonga kuliwa wanazitoa Wapi ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza washangaa hao na wengine wenye tabia hizo ila nikuambie tu ndugu yangu Mambo hayo ni muendelezo wa yale ambayo kwenye ukoo wao yupo mtu alifanya vile. Nakupa mfano

Wewe mtoa mada unaweza mfira ama mwanamke wako ama mwanaume mwenzio na ukavhekelea hiyo dhambi ni lazima irudi kwenye kizazi chako au ndugu zako ama ataliwa tako ama atawala matako wengine na wajukuu wataridhi daima mpaka apatikane mwenye kukimbilia kwa Yesu na yy ili avunje hiyo dhambi ni mpaka asimame kwa uaminifu na sadaka kuukomboa ukoo ndugu.

Hali hii sio nzuri sbb ni roho mbaya sana lakini nani ajuaye maana ni tendo linafanyika sirini linaanzia kwenye ulimwengu wa Roho ni kama vile kujichua yaan mapepo yanatumaliza vijana.

Haina tofauti na mtu anaejiua ukitizama kwenye ukoo yy sio wa kwanza na itaendelea kizazi hadi kizaz.
 

Niambie chanzo chake cha hiyo tabia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…