Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mikopo mikopo mikopo mikopo mikopo mikopo mikopo mikopo mikopo mikopokuna umuhimu serikali yetu ichukue hatua mapema, kizazi hiki kitaharibika kuliko hata vizazi vya ulaya. ujue wazungu huwa wanaharibika ila wanaharibikaga kisomi sana ila waafrika wakiamua kuharibika huwa wanaharibika mazima. Mungu linda kizazi hiki.
Njaa mbaya sana