Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje wasome nyumbani.View attachment 2486853
Duuh, huku ni kuvuka mipaka kabisa.., vitoto vidogo hivyo vinakuwa corrupted na mzazi unakubali tu, duuh
 
Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje wasome nyumbani.View attachment 2486853

dume linavaa nepi tangu mdogo, mwendo wa kupakuana mimavi tu
 
Huwa sipendelei sana kwenda sehemu ambazo wenyewe Watoto wa mjini huita kina-happen ile mbaya. Mimi hupendelea kutoka na kwenda sehemu tulivu. Maana sehemu hizo za kunapo-happen huwa ni shida tu na watu kujifanya tunajuana sana.

Weekend hii sababu ya mualiko wa rafiki yangu nikawa sina jinsi nikaenda ile pub moja pale sinza mori njia ya kutokea kwa kakobe ambayo ndio ina-happen sana kwa sasa(sitaitaja jina).

Kilichoshangaza zaidi kuwepo kwa vijana wengi Mashoga, niseme ukweli kwenda kwangu kote sehemu za starehe sikuwahi kuona idadi kubwa ile ya vijana Hawa Kama niliyoiona weekend hii. Na Cha ajabu kabisa hata mavazi yao wengi wamevaa ya kike kike.

Hawa vijana hawana hofu kabisa, ni wengi sana na muda mwingi hujipitisha pitisha kwa kubinua makalio mbele ya wanaume. Na mwingine niliona akienda kumkatikia mwenzie, wakawa wanabambiana. Wamejiremba na wengine wamepaka make-up.

Ni kina nani huwatongoza hawa na Kulala nao? Mbona sio kawaida? Huu wingi umetoka wapi? Mwenye hii bar sijui pub sijui lounge anakubali vipi hii sehemu kufurika hawa watu?
 
Back
Top Bottom