Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Aisee dunia imefika papaya sana....
JamiiForums-1690134940.jpg
 
Hili suala siku hizi limekuwa wazi wazi.
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
 
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...

Wazo zuri ila haliwezekani kwa nchi yako hii yatembeza bakuri,mana moja ya mashart ya mikopo hiyo ni kuwalinda hao mapunga.
 
Hizi mbanga soon zitahalalishwa soon...na vile bimdashi sir'hundred anawapenda sana watoa mikopo basi tutegemee hizi mbanga kuhalalishwa kwa njia zozote zile...

Unateseka sana. Jamii ishaharibika kitambo na huwezi iweka sawa.
 
Hawa wazungu nimeshindwa kuwaelewa kabisa kwamba ilikuwaje na ipoje Hadi Sasa wanatukaririsha kuwa na mke zaidi mmoja ni dhambi mbele za Mungu lakini Suala la mapenzi ya jinsia moja linapigiwa kampeni kuwa ni haki za binadamu?

Hali ya kupigia kampeni ndoa za jinsia moja inazidi kushamiri kila kukicha na hatuoni ikitamkwa popote kuwa kufanya hivyo ni dhambi?

Ngozi nyeusi tuamke!

inayokataza ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni dini,sio wazungu.dini hiyo hiyo pia inakataza ushoga.

usiibebe dini kwenye ujinga wa wazungu,hao hata ndoa kwao zinavunjika na wanaoa tena pamoja na dini kukataa.

dini itaendelea na misimamo yake milele,ndoa za jinisa moja na ushoga ni dhambi.
 
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake.

Raia tufanye nini. Mitaani kibaka akikamatwa katika uhalifu sheria mkononi kwa kipigo kikali huchululiwa.

Mimi nadhani wenye kushika serikali kama wameshindwa waache raia tuwashikishe adabu. Maana jamii inaangamia au tunaangamia huku tukijiona.

Tunaanza na wanaume wote wanao vaa kama watoto wa kike na tabia zote za kishoga.

Shoga akionekana kama sio kuzomewa basi ni kichapo na kichurachura akaugulie aendako

Kutakuwa na kelele za ukandamizaji wa haki za kiraia.

Nasema hakuna haki ya kuharibu jamii.

Jingine, ilani za vyama na agenda zao tuzijue kuna msimamo gani kuhusu ushoga. Uchaguzi ukifika tunawapa kura au kuwanyima kutokana na msimamo na matendo yao.

Hapa mtasema kura ya raia haizingatiwi. Sawa lakini ujumbe utakuwa umefika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili unalozungumza wee halitokaa litokeee.
 
Jaribu kuoa hata wake 20 uone kama kuna mtu anakuzuia, mnawasingizia wazungu kila matatizo yenu kama mazombi wasio na akili au uwezo wa kufanya chochote bila remote yao.
Hawa wazungu nimeshindwa kuwaelewa kabisa kwamba ilikuwaje na ipoje Hadi Sasa wanatukaririsha kuwa na mke zaidi mmoja ni dhambi mbele za Mungu lakini Suala la mapenzi ya jinsia moja linapigiwa kampeni kuwa ni haki za binadamu?

Hali ya kupigia kampeni ndoa za jinsia moja inazidi kushamiri kila kukicha na hatuoni ikitamkwa popote kuwa kufanya hivyo ni dhambi?

Ngozi nyeusi tuamke!
 
Hellow

Leo niliamua kubadilisha gym nikasema ngoja niende gym maeneo ya makumbusho bhna bhna nilichokikuta uko hapana kwa kweli

Kama kawaida nimelipia nikaingia ndani nikawakuta watu wachache nikaaza kubeba vyuma nimepiga zangu sasa hile nabadilisha zoezi nakutana na teacher wa gym kamshika kiuno mwanaume mweziei et ndio anafundishwa naye kalegea

Nikapotezea mh gafla nasikia sauti ya kike inayoelekea ya kiume kuangalia ni wale wale nikasema ngoj nijitoker hapa najikuta na hasira tu
Kumekuchaaaaaaa!!!

Muhimu uli ondokaaa, maana mengine hayakua yanakuhusu.

Muwage buzz na mambo yenu, watakatifu nyiee. Lol
 
Hizi mbanga soon zitahalalishwa soon...na vile bimdashi sir'hundred anawapenda sana watoa mikopo basi tutegemee hizi mbanga kuhalalishwa kwa njia zozote zile.

Na bado, hayo majitu ni kuyauwa kimya kimya tu, livamie piga kisu cha shingo likafie mbele, kulko kuyaacha yanazagaa na kuzid kuharibu jamii..
Jaribuuu uonee na uthibitikee ndo utajuaa mbivu na mbichii, ukienda jelaa wee ndo unakuwa mke waa nyaparaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa utakua umefanya nn?
 
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
Kumekuchaaaaaaaaa!!!
Mazito hayaa uwiiiiiiii.
 
Jaribu kuoa hata wake 20 uone kama kuna mtu anakuzuia, mnawasingizia wazungu kila matatizo yenu kama mazombi wasio na akili au uwezo wa kufanya chochote bila remote yao.
Wanachekeshaa mnooo hawa watu, kila kitu wazungu, utadhan wazungu ndo wana wasimamia pembeni yao khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mngepambana kwanza na umaskini muumalize, mjiletee maendeleo.

Nchi hii bado kuna watu wengi wanatumia maji ya madimbwi pamoja na mifugo, kuna watu bado wanaishi kwenye nyumba za nyasi, kuna watu wana wototo wanaenda shule kaptura zimetoboka, kuna wanafunzi wanasoma wamekaa chini, hospitali zina mlundikano wa wagonjwa, kuna sehemu wakati wa mvua kusafiri katika barabara ni sawa na kubeti.

Hayo na mengineyo ndio matatizo mnayotakiwa kujielekeza kuyamaliza, sio kupambana na watu wazima walioridhiana na walioamua kufanya mapenzi kwa mitindo wanayoona inawafaa wao.
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...
 
Tatizo kwa sasa kuna tatizo la masingle maza'yaani akina mama wanakimbia ndoa zao na kwenda kupanga wakiwa na vitoto vidogo.

Sasa akishakua huko hana muda wa kukaa na watoto au mtoto kwa sababu anajitahidi kutafuta hela ya kujikikimu, matokeo yake ndo hayo,watoto wanakua mashoga angalia sana wakati wa mashoga yakiongezeka na masingle maza nao wapnaongezeka!!
Kabisa, haya mambo tanaenda sambamba, Singel Mothers na Mashoga.
 
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...
Mashoga wana nguvu kubwa duniani, huwezi kupambana nao. Wameshika njia zote za kiuchumi na kijamii ndomana kuna wakati tulianzisha hilo vuguvugu la kupambana nao lakini ukaona faster zoezi likasitishwa! Dunia ilipofika ni aidha ukae kimya au uungane nao!
 
Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje wasome nyumbani.
 
Back
Top Bottom