Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

All in all hata JAMII FORUM WANASUPPORT USHOGA

#SIOGOPI BAN
Naweza kukubaliana nawewe kwasababu kama hawasupport inakuaje thread kama hizi hazifutwi? Moderator Paw ni kwanini Uzi kama huu mnauacha badala ya kuufuta?

Hamuoni ndio inazidi kupromote USHOGA?
 
Usiamini kila kinachoandikwa humu, na hakuna ajuae kila kitu...usije shangaa anakuambia hata wewe ni shoga na ana ushahidi

Ila kama JF haisupport hili suala ni kwanini wauache huu Uzi siku zote hizo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hakuna wanaoliwa hovyoo km wanachuo, tena wageni wa hayo mambooo wanaburuzwaa hatareeee.

Wacha inyeshe tujue inapovujaaaa.

Dj waleteeeeeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Tena wanapenda Sana
 
C E O anaelewa vizuri trust me, check back in days Kuna ambassador kadhaa wamefika hapo HQ na mhusika hakuna banning Kwa thread za kidhoga lakini ukikosoa serikali chap unakula ban

Ndio hivyo sema wana anangalia na watu kun a jamaa hapa alinitukana matusi ya nguoni kabisa lakini nika report hadi sasa yupo huru no ban
 
Kwa issue ya Mashoga mji wa Moshi ndo kama ngome yao, kifupi Moshi ni Sodoma ya Bongo.
 
Wasanii na miziki yenu sahv ndiyo wanazidi kuupaishia ushoga

Ova
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar...
Tatizo kwa sasa kuna tatizo la masingle maza'yaani akina mama wanakimbia ndoa zao na kwenda kupanga wakiwa na vitoto vidogo.

Sasa akishakua huko hana muda wa kukaa na watoto au mtoto kwa sababu anajitahidi kutafuta hela ya kujikikimu, matokeo yake ndo hayo,watoto wanakua mashoga angalia sana wakati wa mashoga yakiongezeka na masingle maza nao wapnaongezeka!!
 
Back
Top Bottom