Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vigogo wa ccm pengine kwann wanashindwa kukemea
 
Umenichosha hapo uliposema hutataja jina... Sasa una Nia Gani?
 
Hapo kitambaa cheupe kiukweli ni pa hovyo sana. Nilifika mara moja tu hata kurudi sikutamani. Malaya wengi kama uchafu + hao.
 
Hapo hapo wala hujakosea
 
Hapo hapo. Ni kwa nn wamechagua pale kuwa kituo chao?
 
Kama yule James Delicious wanawake ndo wanaongoza kwa kumpa umaarufu hasa hawa celebrities wa kike
Na ndo mana niliongea hivyo kwa makusudi mkuu na utakuta na ma-boyfriend wa kwenda kumchokonoa wanamtafutia. Na sio James delicious peke yake.... wako wengi! Wengi! Wengi! Sana! Hata wasiojulikana na marafiki zao wakubwa ni wanawake

Alafu lawama wanazitupa kwa wanaume. Wataalam wanakwambia anayeshiriki kumfira shoga hayuko timamu kiakili.
 
Ukweli vijana wengi sana sasa ni Mashoga. Wengi mnooo
 
Kuna documentary niliionaga zamani sana ya kijana mmoja alikuwa anaishi England kwa wakati huo anatoa historia yake.... akaelezea alivyonusurika kifo baada ya kugundulika na familia yake, ukoo na jamii yake kwamba anachezewa utope. Mpaka wakasafiri mpaka Jamaica na kuonesha nyumba waliyokuwa wakiishi. Wanarekodi kipindi wakiwa kwenye tinted kali! Anawapitisha maeneo ambayo alikuwa anaenda kula raha na kwa marafiki zake wa zamani... hapo ni baada kama ya miaka inshirini (20) tangu anusurike kifo ndo anakanyaga tena Jamaica.


Ila nasikia kisirisiri bado wanawaua sana!
 
Astaghafulilah!!!
 
Ukweli vijana wengi sana sasa ni Mashoga. Wengi mnooo
Tena wa kisirisiri. Siku unagundua mshkaji wako ni shoga hutaamini utatamani ulie kwa aibu, kuumia na fedheha. Hasa hawa mablaza meni wanaotaka gari kali, demu mkali simu kali, pamba kali, anukie na apartment kali aishi bila mchongo wowote wa maana, kazi wala elimu.
 

Laana hiyo asee ukila wewe sio mwenzetu
Moto unakuhusu
 
Serikali mbona iko kimya kuhusu huu uchafu
Kuna mambo yanahitaji akili kubwa komredi. Sisi hatuna ubavu wa kukemea hayo kwa sababu hatuna nguvu ya kupambana nao (mataifa makubwa)

Tupo bado kwenye uhitaji wa support kubwa mno kutoka kwao. Unaujua ule msemo wa "jifunze kula na Kipofu"

Ila amini usiamini humohumo serikalini Viongozi wetu wanachukia sana na wanaumizwa na hivi vitendo mno! Mno! Mno! Si katika tamaduni zetu.
 

Acha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…