TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Tofauti na wale walio ingia humo kwa tamaa au kufuata mkumbo au kubakwa na mazingira mengine wezeshi yaliyo watumbukiza kwenye janga hilo, HIVI WALE WALIO ZALIWA na disability hizo hua wanakua kundi gani!!?
Kuna ninaemfahamu kazaliwa hivyo ila hatoi utamu ila anapenda sana mambo ya kike hua namuonea huruma sana ni kama kaja kimakosa duniani
Kuna ninaemfahamu kazaliwa hivyo ila hatoi utamu ila anapenda sana mambo ya kike hua namuonea huruma sana ni kama kaja kimakosa duniani