Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Tofauti na wale walio ingia humo kwa tamaa au kufuata mkumbo au kubakwa na mazingira mengine wezeshi yaliyo watumbukiza kwenye janga hilo, HIVI WALE WALIO ZALIWA na disability hizo hua wanakua kundi gani!!?

Kuna ninaemfahamu kazaliwa hivyo ila hatoi utamu ila anapenda sana mambo ya kike hua namuonea huruma sana ni kama kaja kimakosa duniani
 
Unajuaje km hatoi? Au wee ndo unamkaguaga, japooo sio wote wa hivyo huwaa wanatoa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ww mbona umetokoka kule
 
Unajua haya mafantasy ukiyaendekeza sana ukawa umefanya karibu kila aina ya sexual fantasy inaweza ikafika kipindi ukataka uonje tamu ya shoga uone inakuwaje

Na ww si umeonja uzuri wake wew unasema ukweli hila sio sisi hapa tunamaliza kuwatukana sana baadae hao tunawafwata na kuwahonga tuna wahonga
 
Nachekaaaa nusu nizimieee hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila watu jaman khaaaah.
Cheka tu ila mtihani Sana ingawa watu wanaona kawaida ila ni vitu vya ajabu Sana mtoto wa kiume kufanya mambo hayo Kila kitu kibaki asili yake
 
Ww mbona umetokoka kule
Ndio nilikua njiani kuondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu ulevi mbaya sana! Alie tulisha hii kitu jf akifika mbinguni asifuate ile trekta ya kuni kule kulia, apite zake kushoto atakutana na mitungi ya gesi ataenda kupumzikia humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shubaaamiti
 
Unajuaje km hatoi? Au wee ndo unamkaguaga, japooo sio wote wa hivyo huwaa wanatoa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajawahi kunialika, hata kwenda kumshikia miguu
 
Sasa unaua mtu ambaye hana kosa ili iwejee?? Yaan straight hawana amani na life lao binafsi, kutwaa kuchonga ngenga kwa pande zingine lol.

Utasikia ni dhambi, ila wao uzinzii uliopitiliza hawaoni.
Bongo unafikii unawasumbuaa. Khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj waleteeeeeeee.
Sahivi wengi wameoana na wanaishi Pa1, kisingizio washikaji.

Mweeeeeh.
 
Hkn Bado hajawa confirmed huyu Ni transgender hili ,bila shake Ni pungaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unatesekaaa na miee? Nawaambiga ukweli kulia kwenye keyboard haisaidii, km mnaweza na mnajiamini anzeni kuwapopoa huko mtaan na uraiani.

Mtu kawaonaa huko Sinza, makasiriko analeta JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],.

[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380] 4 lifeee, hamtakiiiii mkufweeeee.
 
Weweeee Wana balaa sio poa Tena Wanajua mambo balaa na nusu...acha kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuu khaaah
 
Cheka tu ila mtihani Sana ingawa watu wanaona kawaida ila ni vitu vya ajabu Sana mtoto wa kiume kufanya mambo hayo Kila kitu kibaki asili yake
Unajua mie siku zote nakataa unafiki, hivi kwann watu hasa straight wajitokeze wazi kupinga na kuzuia hili janga la ushoga?

Mtu hapa mtandaoni anapinga aki log out anaenda kutafuta kizibo, haya umekutana nao mtaani kwann usi deal nao hapo hapo, anakuja kuleta lawama JF.

Ndo nn sasa? Adui ukimshindwaa ungana nae. Kelele tushachokaaa sahv aaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…