Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mungu atuepushie nawa toto wetu hawa!
Huyu maza kama ameweza kudhibiti tovuti za porno hata hili akiamua anaweza kulidhibiti walau ikawa kwa kificho kuliko saiv wanajiachia tu km nguo za kuuzwa yani
 
Huyu maza kama ameweza kudhibiti tovuti za porno hata hili akiamua anaweza kulidhibiti walau ikawa kwa kificho kuliko saiv wanajiachia tu km nguo za kuuzwa yani
Na huo umoja wao wa mareeekani! Mh!
 
Huyu maza kama ameweza kudhibiti tovuti za porno hata hili akiamua anaweza kulidhibiti walau ikawa kwa kificho kuliko saiv wanajiachia tu km nguo za kuuzwa yani
Haogopiiiiiii? Wameshindwaa marais wa kiumee, ndo awezee yeye? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtalia sana kwenye keyboard, mbna badoooooo.
Uwiiiioh
 
Haogopiiiiiii? Wameshindwaa marais wa kiumee, ndo awezee yeye? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtalia sana kwenye keyboard, mbna badoooooo.
Uwiiiioh
Magufuli aliwanyoosha lakini mlikuwa mnajificha jificha tu
 
Hizo dini ni wazungu hao hao wamekuletea kwa minajili ya kukutawala wewe
 
Jf ni kama safina linaingia Kila kitu , l mengi humu jf yanaandikwa aliyeleta hapa hajakosea pia,sio kua watu hawazuii huko mitaani Kuna wazazi wanaua watoto wao kimya kimya wakijua kama ni mashoga,wazungu wanapreach huo ushoga but deep down they are hurting mfano wale watoto Kylie na Kendal walilia sana baada ya baba Yao kuamua kubadili jinsia ila hawakua na namna
Kuna yule mzungu aliuliwaga na baba Ake miaka ya nyuma Kwa kua alikua gay

Hivi vitu in short vinashaangaza kiukweli how comes mwanaume kabisaa anamuingilia mwanaume mwenzake?!!!hiyo ni shida ya afya ya akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji si anaambiwa samehe mara 7 sabini jamanii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kashindwa kusamehe
Ntakufa na bikra yangu ya tigo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii story Nimetoka kupewa na Boda ananiambia anawachukua sana vijana wa NIT anapeleka kwa mabwana

Eeh Mungu tunusuru
 
ee bhana we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…