Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hivi karibuni kumeibuka mitandao (Applications) za kuunganisha wapenzi wa jinsia moja walio eneo moja. Sasa hivi vijana wa vyuo wanadabuliwa bila huruma Wala kinga Kwa tamaa ya pesa. Yaan dakika 10 nyingi dogo huyu hapa na bodaboda.
NB: Vijana msipende vya bure.
Wanataka wamiliki Land rover Discovery na BMW X7 bila kuzihangaikia 😊.... Let them suffer!
 
Hao mashoga ni kina nani wanao watumia? Ili mchezo uishe tuanze na hao wanao watumia kama vile wala ndumu sababu ndiyo wenye pesa mnashindwa kuwaweka hadharani! Waanze na mizizi
 
Kuna mchungaji aliishi na mkewe vizuri, na wakapata watoto kadhaa, yule mama mchungaji kuna michezo alikua anafanya wakati wa kujifungua hosp, mpaka pale shetani alipo mchoka, maana alitaka kumuelekezea kwenye trekta la kuni aka ghairi akamtupia kwenye gesi kabisa.


Siku ya siku ikafika mama mchungaji kwenda kujifungua mtoto mwingine wa tatu, siku hiyo haikua ya kawaida kwake kwani baada ya mapambano ya kimaisha ya kuhama hama akajikuta anaangukia kwenye kituo cha afya ambacho hakuna anaemfahamu na wana tabia tofauti na alio wazoea, yule mama akawa amesindikizwa na mama yake mzazi, mama mkwe wake, mdogo wake na mumewe mchungaji mwenyewe.[emoji15]

Baada ya kusubiri apatiwe huduma, ndugu hao wakawa wameketi karibi na chumba alichokua anapatiwa huduma, na humo ndani walikua watu kadhaa wanaoendelea na huduma, baada ya muda wale manesi watoa huduma wakapita wawili huku wanateta jambo japo ni kwa sauti " jamani ndio nini vile, yaani haya mambo ni uchafu kabisa, haiwezekani unamfanyia vile mkeo aiseee " wakiwa wanaendelea na safari yao, he baada ya muda anatoka nesi mwingine kama ana haraka akibaki mlangoni kama anachungulia akaomba msaada wa khanga hata mbili za karibu kuna mzazi anadharula, wale ndugu wakatoa khanga zao bila kujali anaenda kuhudumiwa nani.


Mda kidogo wanatoka wengine wawili wana soga " yaaani huwezi amini ukimuangalia anaonekana wa heshima sana ila hawafai kabisa, ndio nini vile, hujisikii kinyaaa ..... " Wale watu na watu wengine walio kua wanasubiri wazazi wao pale nje wakawa wanashindwa kuelewa hawa manesi wana nong'ona nini kila wakipita hapo.

Baada ya muda akaja nesi akamchukua mchungaji na mchungaji akamchukua mama mkwe wake wakaingia chumba cha daktari, kuumbe lile tukio ni lao, mama mchungaji amejifungua kwa taaabu sana na mtoto nusura atokee nyuma kwa jinsi palivyo oza, MZIKI ukaanzia hapo! Mchungaji hajawahi kula chakula hicho tangu amfahamu mkewe[emoji2962][emoji43][emoji848] aibu iliyo kuu kabisa ndoa ilivunjikia hapo hapo hosp

Haya mambo hayana mwanaume wala mwanamke ni aibu na dhambi

Hii chai
 
Chagua hapo!
JamiiForums1671073532.jpg
JamiiForums-1329738069.jpg
JamiiForums1406476331.jpg
JamiiForums710495176.jpg
JamiiForums1545859585.jpg
JamiiForums-529991160.jpg
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna haja ya kuja na sheria ya kuwanyongelea mbali laana hawa
 
Back
Top Bottom