Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Yea ni kweli hilo linakua ni tatizo la hormone. Lakin pia hua ni tatizo la akili. Kiuhalisia inatakiwa tuvutiwe na jinsia tofauti na sisi na mwenye afya nzur ili tuweze kuzaliana nae. Ila kuna baadh ya watu wamezaliwa na hio ttzo kwahy wanavutiwa na watu wa jinsia yao. Wengine imewatokea tu baada ya kukua, either changamoto ktk ukuaji nk...

Alafu unajua kwamba ukiwa unakula mwanaume mwenzio na ww technically unakua ni shoga? [emoji23] anaekula ni basha anaeliwa ni msenge ila kwa pamoja nyie ni mashoga. Ko kama unakula wanaume.... dah I got bad news for you. Ila good news ni kwamba binadamu hatutakiwi kukuhukumu, anaekuhukumu ndio anamakosa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakula ni MSENGEREMA wa juu.

Anaeliwa ni MSENGEREMA wa chini.

Kwakifu ni kwamba wote ni WASEENGEREEMA!!
 
Sababu bado zinajiludia kwahi hakuna kiini yaani kama mmea unapukutisha majani ukiaza kuchunguza unajua kumbe shida ni jua au wadudu na kama wadudu unaenda tafuta dawa una tibu hili mmea uzidi kuchipua na kuzaa matunda

Sasa linapokuja swala la ushoga hakuna anae kuja na sababu za mashiko kwako umesema kwa upande wa kiimani kuna mwingine msoma atakuja kusema ni biological factor kutokana na homeni

Ukija kwa upande wa history wataleta sababu za sodoma na gomora lakini mpka leo hakuna ambae najua sababu

Kama ukijalibu kukaa nao hawa watu utagundua kitu na unaweza sema kwanini nilimuhukumu

Kuna baadhi yao wanafanya kwa tamaa zao, wengine malezi , wengine wamebakwa kwahio kila mtu unakuta anasababu yake lakini hakuna ajua asili ya ushoga imetoka wapi kwasababu tangu miaka ta 70 ushoga ulikuwepo

Jaribu kufikilisha akili mda mwingine usipende sana kuja na sababu ambazo kila mtu anazijua au ni zakufikilisha

Pole sana kama unadhan mwanadamu ana uwezo wa kujiamulia jambo sahau. Hilo jambo ni ama wazo la Shetani ama la Mungu uchaguzi unabaki kwako sasa ila sbb ya dhambi za walotutangulia shida inakuja hapo. Sasa nimekwambia roho za mafatilizi unaleta historia kwan miaka ya 70 sio historia kila jambo linaanzia rohoni linadhibitika mwilini. Ukimkataa Mungu na yy anakukataa na haya ndo madhara anapatiliza hadi kizazi cha kumi. Endelea tafuta sbb
 
Habari!

Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu ya kuomba wanaume wote wa Tanzania kuisaidia serikali juu ya hawa mashoga waliotapakaa kwa sasa Tanzania nzima.

Kweli ni aibu sana kwetu sisi wanaume kukaa au kunywa sehemu ambayo hawa mashoga wapo. Huu ni uchafu mkubwa mbele ya jamii yetu. Haya mambo si ya kuigwa hata kidogo katika jamii zetu.

Hivyo kama wanaume mnaombwa pale mtapokaa mkiwa wa tatu au watano na huyu jamaa kapita basi ni viboko vya kutosha washindwe kutokea mbele ya Wanaume halisi wanaojielewa ili tuendelee kuwapa heshima wamama wetu wa kiafrika wenye upendo wa dhati kwetu.

Polisi wanajaribu sana kutoa huu upupu katika jamii ila hali halisi inaonekana wamezidiwa kwa sasa hivyo sasa wanaume tuingie kazini kulinda heshima ya jamii zetu ni bakora tu za kutosha washindwe kujitokeza mbele ya jamii. Watafunane wao kwa wao huko mafichoni.

Nb. Isue sio kujeruhi au kuua ni viboko vya hatari tu na makofi kidogo.
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
 
Hautweza kuwaondoa kwa mkakati huo wa kitoto mkuu

Mashoga ni jeshi kubwa tena nila kimataifa utalimalizaje kwa bakora?

Pendekeza mkakati mwingine smart zaidi
Jamii ina nguvu ikiamua wanatoka hamna mkakati zaidi ya huo. Nchi za kiislam zimeweza tunza utamaduni wao. Sababu ya jamii kama jamii kukubali na sio serikali
 
Jamii ina nguvu ikiamua wanatoka hamna mkakati zaidi ya huo. Nchi za kiislam zimeweza tunza utamaduni wao. Sababu ya jamii kama jamii kukubali na sio serikali

Zimeweza hadharani ila private watu wanafumuliwa tope kama kawa,sasa walichozuai nini??
 
Jamii ina nguvu ikiamua wanatoka hamna mkakati zaidi ya huo. Nchi za kiislam zimeweza tunza utamaduni wao. Sababu ya jamii kama jamii kukubali na sio serikali
Haha.. hawajaweza bana. Kila baada ya siku kadhaa utasikia mtu kakatwa kichwa, mtu kapigwa mawe mpaka kifo, kanyongwa etc... kisa ushoga. Ila na bado ushoga upo. Inamaana mbinu zao wanazotumia kumaliza ushoga sio mbadala... nchi kama Iran, nafkir wao wanakwambia bora ubadili jinsia (transgender, ambao pia ni moja ya kundi la upinde[emoji304]) kuliko kua shoga. Kubadili jinsi kule ni halal ila kua shoga haram.

Labda Iran ya kibaigwa
 
IMG_7706.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyempiga picha ndo aliye muhonga range.

Chimbo namuuliza hiyo Range bima na kadi unavyo, na vinasoma jina lako, etiii oooh ndo anashuvhurikia vikiwa sawa atanipaaa.

Najisemea wee chezeaa na terezeka naloo akikuchokaa anachukua chuma chake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari!

Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu ya kuomba wanaume wote wa Tanzania kuisaidia serikali juu ya hawa mashoga waliotapakaa kwa sasa Tanzania nzima.

Kweli ni aibu sana kwetu sisi wanaume kukaa au kunywa sehemu ambayo hawa mashoga wapo. Huu ni uchafu mkubwa mbele ya jamii yetu. Haya mambo si ya kuigwa hata kidogo katika jamii zetu.

Hivyo kama wanaume mnaombwa pale mtapokaa mkiwa wa tatu au watano na huyu jamaa kapita basi ni viboko vya kutosha washindwe kutokea mbele ya Wanaume halisi wanaojielewa ili tuendelee kuwapa heshima wamama wetu wa kiafrika wenye upendo wa dhati kwetu.

Polisi wanajaribu sana kutoa huu upupu katika jamii ila hali halisi inaonekana wamezidiwa kwa sasa hivyo sasa wanaume tuingie kazini kulinda heshima ya jamii zetu ni bakora tu za kutosha washindwe kujitokeza mbele ya jamii. Watafunane wao kwa wao huko mafichoni.

Nb. Isue sio kujeruhi au kuua ni viboko vya hatari tu na makofi kidogo.
Hapo pa "Nb" kumbe mnaogopaaa eeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashogaa wamewashika pabayaaa. Mweeeeh.
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
Bora usemee wee mwenzangu, wanatumia mihemko na sio utashi wa ubongo wao.

Very soon Gaysim is Legally in [emoji1241].
 
Labda Iran ya kibaigwa
Ni ukweli. Iran kuwa shoga ni punishable, ukikamatwa unaweza kupewa chaguo kwamba ubadiliwe jinsia au wanakuua... transgenders huko wanawatreat kama watu wenye 'psychological issues'

Au nakutumia screenshot hapa kama utashindwa kufungua hio link...

Screenshot_20230203-112322_Chrome.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyempiga picha ndo aliye muhonga range.

Chimbo namuuliza hiyo Range bima na kadi unavyo, na vinasoma jina lako, etiii oooh ndo anashuvhurikia vikiwa sawa atanipaaa.

Najisemea wee chezeaa na terezeka naloo akikuchokaa anachukua chuma chake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mwanangu una nyeti nyngi na balaaa
Haha

Ova
 
Back
Top Bottom