Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Na vibretor zinaharibu sana mbunye
 
Kwa hali inavyoendelea ,mpaka kufika 2030, Taifa litakua na Kizazi ambacho Ushoga ni sehem yake ya Kila siku, Mapenzi ya Jinsia Moja ni suala la kawaida kabisa.

Mimi Huwa nashangaa, kwanin Suala hili la Ushoga ,Mapenzi ya Jinsia Moja Kwa ujumla wake LGBT , Serikali Inakua nalo kigugumizi??.Kwanini??.

Kwanini mnahitaji Tamaduni za Mataifa ambayo yameshashindwa, Mataifa ya Kishetani ,ndio yaendeshe Tamaduni za Nchi yetu.??.


Kwanini Mnaruhusu Uingizwaji wa Tamthiliya , na filamu kutoka Nje ambazo Zina maudhui 100% ya kuwafunza watoto wetu kua Ushoga ni sehem ya Maisha yao??

Kwanini Mnaruhusu Mitandao ya Kijamii , ipromote Ushoga na LGBT Kwa ujumla wake ili hali tunafaham Kwa Sasa watoto Wana access na Mitandao hii?.

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, upo tuuu , unakodoa macho ,huku Kuna filamu na tamthiliya Toka nje, zinaingizwa Kwa makusudi kabisa kuwaharibu watoto wetu ?.


TCRA, mpoo tuuu huku maudhui yanayo promote LGBT yakiendelea kutamalaki mitandaoni ??.



Hili Suala lazima tulibebe kama " Tatizo letu sote kama Taifa" , linalohitaji "Utatuzi wa Pamoja kama Taifa".

Wizara husika ,ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria, lazima zijitanabaishe waziwazi kisera juu ya hili swala na zifanye kazi kwa kushirikiana .


Kama tutaendelea kuchekeana, basi Miaka 20 ijayo, tutakua na taifa linalonuka kinyesi ,Taifa ambalo hatutakua na Vijana wakiume , Taifa lilojaa USHOGA, Mapenzi ya Jinsia Moja n.k .


RAI yangu Kwa WAZAZI, Waleeni watoto, walindeni watoto, msiwaache watoto wajilee.

Viongozi wa Dini, Rudini kwenye misingi ya Kiungu ,Mungu wa Kweli, Muumba Mbingu na Nchi.
Ni Lazima tulinde Tamaduni zetu, ni lazima tulinde Utu wetu , Lazima tulinde vizazi vyetu .



Hapa Duniani tunajinsia mbili tu.

Jinsia ya Kiume... Na Jinsia ya Kike na Hawa pekee ndio waotakiwa kujaamiana kama iliyoamuriwa na Si vingenevyo.
 
Kwa hali inavyoendelea ,mpaka kufika 2030, Taifa litakua na Kizazi ambacho Ushoga ni sehem yake ya Kila siku, Mapenzi ya Jinsia Moja ni suala la kawaida kabisa
Hili suala kiukweli limefikia pabaya, sijui itumike mikakati Gani madhubuti kudhibiti sababu pandikizi tayari wameshatapakaa ndani ya jamii tunazoishi
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar...
Hii kitu nowdays imekuwa kama kuvuta bangi tu na tunajua namna watu wanavilindana kuwaficha polisi kuwafichua watu wanaotumia madawa a kulevya.

Kwahyo ushauri wangu kwenye kila familia kuwepo na kuchunguzana na kukemeana vilivyo kuhusu ushoga kabla ya serikali kuingilia kati, lakini tofauti na hapo ni ujumbe mzuri ndyo ila familia na jamii ndyo kila kitu kinaweza kutokomeza hii ishu kabla ya serikali.
 
Hoja kama hii yako hutolewa na mashoga au wenye kuvutiwa na mashoga.
Asante sana.

Kuna siku ukipata akili kasome Logic filtration, namna wazungu wanafanikiwa kueneza ajenda zao Afrika. Nataka nikuulize, kwanini Afrika ushoga unakuwa kwa kasi wakati ndio ukanda ambao Ushoga unapingwa vikali?

Ukiweza kinijibu, njoo urudi hapa ukiwa kwenye calm minds, mnakurupuka ndio mana wanawashinda.
 
Na miziki yao sahv ndiyo ina promote sana ushog

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…