Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kama unamaanisha Meeda (Kitambaa Cheupe Sinza) pale kuna mashoga wengi

Wale wana wateja wao mamende kuna mwanangu yeye ndo michezo yake kashawala mashoga kadhaa pale

Mkistay sehemu pale Kitambaa Cheupe mnagonga mbili tatu lazima wajipitishe wanabinua vimatako vyao na pozi za kike
Yani mzee una rafiki shoga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo Kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu na la kukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu na lenyewe linajiuza

Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwanini mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani

Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani hana pakwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???.

Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, nimecheka had machoziiii. Watu wanakutana na magumu huko uraiani khaaaaaah.
 
ipo namna wenye mamlaka husika inatakiwa wafanye jambo,nchi yetu hairusu ushoga lakini hakuna sehemu ambayo imekemea kuhusu ushoga,yaani hatusupport ushoga ila hatuukemei,,

Namna nyingine ni kama hawasupport ila hawakatazi,,
manaake hawasupport direct ila wanasupport indirect

 kwa wataliban huwezi kusikia huu ujinga
Huko kwa watalibani mbna wanaongoza hao mashogaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]or
 
Mdogo wangu tunaongelea facts

Its simple kwa girls ku kiss hug kuambiana nakupenda kuitana mpenzi n.k

Lakini kwa wanaume hilo kuliona ni ngumu

That's my point argue against tuone
Ngumu ni kwako wee.

Ila wengine wanaona kawaida tyuuh.
 
Huko chuga ni mwendo huo
Screenshot_20230213-092340.png
 
Hii kitu nowdays imekuwa kama kuvuta bangi tu na tunajua namna watu wanavilindana kuwaficha polisi kuwafichua watu wanaotumia madawa a kulevya.

Kwahyo ushauri wangu kwenye kila familia kuwepo na kuchunguzana na kukemeana vilivyo kuhusu ushoga kabla ya serikali kuingilia kati, lakini tofauti na hapo ni ujumbe mzuri ndyo ila familia na jamii ndyo kila kitu kinaweza kutokomeza hii ishu kabla ya serikali.
Ona sasa huyu nae. Unafananisha bangi na ushoga?
Sasa hapo bangi imekujaje kwenye maelezo yako...
 
Kama measures hazitachukuluwa miaka ijayo waoaji watapungua Sana Sasa hivi hata watoto wakubwa wanawakaeiti wenzao sijui huku tunaelekea ni wapi ,ni muda mwafaka kwenye Kila shule angalau kuwepo Kwa mwalimu mmja wa psychology ,
 
Kama measures hazitachukuluwa miaka ijayo waoaji watapungua Sana Sasa hivi hata watoto wakubwa wanawakaeiti wenzao sijui huku tunaelekea ni wapi ,ni muda mwafaka kwenye Kila shule angalau kuwepo Kwa mwalimu mmja wa psychology ,
Kwa huu uandishi utaweza kweli kupendekeza hata measures kweli? Au ndio utauchochea kabisa
 
Kama measures hazitachukuluwa miaka ijayo waoaji watapungua Sana Sasa hivi hata watoto wakubwa wanawakaeiti wenzao sijui huku tunaelekea ni wapi ,ni muda mwafaka kwenye Kila shule angalau kuwepo Kwa mwalimu mmja wa psychology ,
Haya pendekeza nini kifanyike.
 
Back
Top Bottom