Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Yani mzee una rafiki shoga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, nimecheka had machoziiii. Watu wanakutana na magumu huko uraiani khaaaaaah.
 
Huko kwa watalibani mbna wanaongoza hao mashogaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]or
 
Mdogo wangu tunaongelea facts

Its simple kwa girls ku kiss hug kuambiana nakupenda kuitana mpenzi n.k

Lakini kwa wanaume hilo kuliona ni ngumu

That's my point argue against tuone
Ngumu ni kwako wee.

Ila wengine wanaona kawaida tyuuh.
 
Ona sasa huyu nae. Unafananisha bangi na ushoga?
Sasa hapo bangi imekujaje kwenye maelezo yako...
 
Kama measures hazitachukuluwa miaka ijayo waoaji watapungua Sana Sasa hivi hata watoto wakubwa wanawakaeiti wenzao sijui huku tunaelekea ni wapi ,ni muda mwafaka kwenye Kila shule angalau kuwepo Kwa mwalimu mmja wa psychology ,
 
Kwa huu uandishi utaweza kweli kupendekeza hata measures kweli? Au ndio utauchochea kabisa
 
Kama measures hazitachukuluwa miaka ijayo waoaji watapungua Sana Sasa hivi hata watoto wakubwa wanawakaeiti wenzao sijui huku tunaelekea ni wapi ,ni muda mwafaka kwenye Kila shule angalau kuwepo Kwa mwalimu mmja wa psychology ,
Haya pendekeza nini kifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…