Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ndio muache kutumia bidhaa zao.

Tengenezeni za kwenu ambazo hazina uhusiano na UFIRAJI.

Kwanza UFIRAJI NI LAANA. Ukitumia bidhaa ya SHOGA unapata LAANA YA MILELE pamoja na GUNDU KALI. Ndio!!!

Msitumie IPHONE zinanuka MAVI. NI USHOGA.
We jamaa leo umejitoa akili.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ko ukitumia bidhaa zao kinyelo kinapwita pwita au mbona sielewi watumiaji watupe mrejesho
 
Mbona una mambo ya ajabu
 
Mtoa mada yuko sahihi, CEO wa apple inc. Ni shoga.
 
Hoja yako ni dhahiri unatulazimisha tuukubali ushoga ambapo ni hatari,misaada tunapewa haina masharti ,bidhaa tunazotumia hazi fungamani na uchafu wanaoufanya ni ya kwao sisi tamaduni zetu hazibadiliki
 
Hoja yako ni dhahiri unatulazimisha tuukubali ushoga ambapo ni hatari,misaada tunapewa haina masharti ,bidhaa tunazotumia hazi fungamani na uchafu wanaoufanya ni ya kwao sisi tamaduni zetu hazibadiliki
Sasa unakataa ugaidi lakini unawapa silaha boko haram na al shabab
 
bidhaa tunazotumia hazi fungamani na uchafu wanaoufanya ni ya kwao sisi tamaduni zetu hazibadiliki

Unachovya mchuzi wa nguruwe unaacha nyama yake eti ni haramu!!! HAIWEZEKANIII.

Ukikataa ushoga kataa na kila muhusika na vyote vinavyojihusisha naye!

KATAA IPHONE zimetengenezwa na mashoga mabwabwa. NI UCHAFU. LAANA, GUNDU, UBARADHUL.

#KATAA USHOGA, KATAA SIMU ZA MASHOGA.

#HATUTAKI SIMU ZA MASHOGA, TUNAHARIBU KIZAZI CHETUUU (KIZAZII KWIO KWIO).

Wabaki na simu zao zilizojaa laana na mavii. Hatutakiiii.
 
Angaikeni na kutapatapa lakini mjue mnaudhalilisha uanaume wenu
 

Na nguo basi sio simu tu kama ndiyo hivyo tusivae na nguo tutembee uchi au tuvae majani na mashuka kama Wamasai kww tafsiri unayotaka kuiweka
 
Basi Tusivae Hata Nguo Pia, Tutembee Uchi, Maana Asilimia 85.5 Ya Nguo Tunazozivaa Zinatengenezwa na Wana Mitindo Ambao ni Mashoga.
 
Kama kweli unapinga kwa style hiyo itabidi utupe kila kitu cha elements za west maana hapo kama hutumii iPhone basi unatumia simu ambayo ina android bidhaa ya Google ambao nao wanasupport ushoga tu hebu pitia hapa LGBTQ+ Inclusion in the Workplace and Beyond — Google
Serikali haiko makini wala serious kupinga hili jambo. Haya mambo ya ushoga mimi nimeanza kuyaona kwenye tamthlia za kifilipino nikiwa mdogo na zilikuwa zinarushwa sijui ITV na wala kipindi kile nlikuwa sijui kama ni mashoga nilikuwa nadhani wanajaribu kuchekesha maana kama wakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni hata wachekeshaji wengi wa kibongo walikuwa wanavaa manguo machafu ya kike wanajiwekea vitambi wanajipaka unga so nilikuwa na relate na hivyo
 
Basi Tusivae Hata Nguo Pia, Tutembee Uchi, Maana Asilimia 85.5 Ya Nguo Tunazozivaa Zinatengenezwa na Wana Mitindo Ambao ni Mashoga.
Vaeni majani ya migomba ili kudumisha mila.

#Mila na desturi za kitanganyika.

Twende na Hashtag:

#TUKATAE USHOGA

#TUDUMISHE MILA

#TUVAE MAJANI YA MIGOMBA
 
Wengi ni majuha. Wanachovya mchuzi wanaacha nyama.

Ukikataa ushoga kataa na vyote vinavyohusika nao.

Twende na Hashtag:

#KATAA IPHONE ZA MASHOGA.
Mnakataa kutumia Mercedes-Benz wakati kwenye ukoo mzima hakuna hata mmoja mwenye nayo kataeni kutumia vitu tunavyoweza kutumia sio hizo IPhone 14 pro ambazo wanazozitumia ni wachache mazee...
 
Mnakataa kutumia Mercedes-Benz wakati kwenye ukoo mzima hakuna hata mmoja mwenye nayo kataeni kutumia vitu tunavyoweza kutumia sio hizo IPhone 14 pro ambazo wanazozitumia ni wachache mazee...
Sawa, lakini IPHONE NI ZA MASHOGA.

Huwezi kuitenganisha IPHONE na UFIRAJI. Ni pete na kidole.

TUPINGE USHOGA KWA NGUVU ZETU ZOTEE. Iphone ni USHOGA. TUKATAE!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…