Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mashoga mnajimilikisha kila kiu. MMECHUKUA UPINDE WA MVUA TUMEWAACHIA, MMECHUKUA IPHONE TUMEWAACHIA.mwisho wa siku mtasema kula kiporo cha wali maharage na chai, ni ushoga.
Kitu ambacho Nina uhakika Watanzania wengi hawakijui hata hapa JF wengi wala hawajui kwamba mfiraji naye ni shoga.

Watanzania unapoongelea mashoga taswira yao wanaijenga kwa watu kama Juma Lokole kumbe si kweli, wafiraji pia wanatambulika kama mashoga.

Huwezi kushinda vita yoyote bila kujuwa nguvu ya Adui yako.

Watu majeuri kama Donald Trump wamechemka na wamemuondowa kwenye Urais.
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Hii kitu umezingua boss......raisi mseveni anatumia iphone lakini yupo mstar wa mbele kupinga ushongaaa......
 
Wapiga kelele na ushoga hawajapata nafasi ya kufika UK or USA watafunga bakuli wenyewe..

Ushoga ni maroho, wengi wao wanapenda Unzinzi yaani wamebadilishana maroho mabaya tu
 
Wanaotoa mapovu ni watumiaji wa iphone
Mimi situmii IPhone ila sikubaliani na upumbavu wa mtu ambaye anatamani kuwa na iPhone halafu uwezo hana, uwezo wake ni Tecno na infinix tuanze kukashifu watu, hilo halikubaliki.

Ukiacha tuliotumia Blackberry enzi hizo, kwa Sasa iPhone ndio simu unayoaminika kuwa na mfumo thabiti ya kiusalama na hata upande wa Computer ofisi zote zenye akili brand ni Apple.

Kwahiyo tuwe makini na hawa Watoto wenye akili za shake well before use.
 
Wewe ni lipumbavu! Steve Jobs alijitangaza lini na wapi kwamba yeye ni shoga!
Wewe ndiye shoga unayejitangaza kupitia mgongo wa Steve Jobs!
Hata angekuwa shoga, kwani kuna app yenye makalio kwenye iphone.Kwa hiyo tukibeba sime tayari tutageuka wamasai?
 
iPhone ndio simu inayoaminika kuwa na mfumo thabiti ya kiusalama.

Unahitaji usalama wa nini wewe muuza genge la nyanya!?

Watu mko delusional sana. Ati usalama! WA NINI?

Mtu anauza mitumba na yeye anataka usalama kwenye simu!!!!!

Eleweni DHIMA ya kila bidhaa. Sio kila bidhaa ni kwa ajili ya kila mtuuuu!!!! Eeeeeeeehhh!!
 
Mkuu mbona unaumia sana, Unapinga utoaji mimba lakini unauza vifaa kwa kutolea mimba

Unapinga ushoga lakini unaruhusu na unagawa mafuta ya vilainishi kwa mashoga kwa kuwa ni haki za binadamu

Mbona hapa Tanzania kuna hospital zinagawa vilainishi kwa mashoga?utasema watanzania wanapinga ushoga?
Sio kila mimba inafaa kuwepo tumboni, vifaa viliwekwa kwa uokozi ukivitumia vinginevyo ni kama ujambazi au uhalifu wowote.
 
Wakati nwingine muache ujinga. Hao wanaojitangaza kuwa ni mashoga mmewahi kuwaona wakifanywa na wanaume au wanawake wenzao. Wazungu wanatuchezea sana akili. Na kwa sababu wanajua waafrika ni viumbe wa hovyo huenda wanafanya propaganda wakijua kuwa tutaiga huo ujinga. Wanaojitangaza kuwa ni mashoga ni vizuri tungeona hata video zao wakitifuliwa kisamvu.
 
Hata kama watatoa misaada yao lakini haipaswi kukubaliana nao. Mbona starehe ziko nyingi sana!

Ndo muache kutumia bidhaa zao.

Tengenezeni za kwenu ambazo hazina uhusiano na UFIRAJI.

Kwanza UFIRAJI NI LAANA. Ukitumia bidhaa ya SHOGA unapata LAANA YA MILELE pamoja na GUNDU KALI. Ndio!!!

Msitumie IPHONE zinanuka MAVI. NI USHOGA.
 
Watua iPhone wote machoko.. iwe simu, tablet hadi desktop na laptop wote wanafokolewa mitaro, umemaanisha hivyo? Yaan hadi mama yako pia?
 
Kitu ambacho Nina uhakika Watanzania wengi hawakijui hata hapa JF wengi wala hawajui kwamba mfiraji naye ni shoga.

Watanzania unapoongelea mashoga taswira yao wanaijenga kwa watu kama Juma Lokole kumbe si kweli, wafiraji pia wanatambulika kama mashoga.

Huwezi kushinda vita yoyote bila kujuwa nguvu ya Adui yako.

Watu majeuri kama Donald Trump wamechemka na wamemuondowa kwenye Urais.
Mkuu hao wote tunajua ni uozo, tunawajua mkuu.ila nauliza nisile chakula kisa kapika jambazi.
 
Back
Top Bottom