Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hapo Kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu na la kukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu na lenyewe linajiuza

Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwanini mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani

Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani hana pakwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???.

Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
Ukitoka huko na mijanaba yako ya kula Malaya wachafu wachafu wa kimboka unanenda kuwananga WALIMU.

Walimu hawakukufundisha ukanunue Malaya walikufundisha madhara ya ngono na magonjwa ya zinaa.

Wewe ni hasara kwa familia yenu na Taifa

The lost cause so sad.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
wajinga ndio wanaoliwa
 
Dudu Linaitafuna Tanzania Yetu.....Inatia sana hasira kuona kijana wa kiume analiwa...! huko kwingineko mtoto wa staa maarufu wa Bongo Movie Monalisa, nae amejitangaza kuwa anajivunia kuwa SHOGA,viongozi wa dini waongeze kukemea haya masuala,UZUNGU SIO KUWA SHOGA, Dini iko wap?
20230227_191015.jpg
 
Dudu Linaitafuna Tanzania Yetu.....Inatia sana hasira kuona kijana wa kiume analiwa...! huko kwingineko mtoto wa staa maarufu wa Bongo Movie Monalisa, nae amejitangaza kuwa anajivunia kuwa SHOGA,viongozi wa dini waongeze kukemea haya masuala,UZUNGU SIO KUWA SHOGA, Dini iko wap?View attachment 2531923

Dini gani?tangu lini dini iza wazungu na waarabu zikazuia ushoga,vita ya ushoga na uzinzi ishawashinda kitambo.
 
Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.

Kama hamjasoma biolojia hata ya form 2, ni kwamba binadamu anazaliwa kwa maelekezo ya DNA ambazo zinabeba chromosomes x na y ambapo male wana xy na female wana xx, ambapo ikitokea confusion kwenye chromosomes basi tatizo litaweza kusababisha imbalances hata kwenye sexual hormones ambapo male wanatakiwa wawe na testosterone na female wanatakiwa wawe na estrogen na progesterone badala yake unakuta male ana testosterone na estrogen na progesterone au female ana estrogen, progesterone na testosterone.

Sasa ikitokea kwenye DNA mimba imetungwa na mtoto wa kiume ana hormones za estrogen na progesterone huyo ni mwanaume kwa umbile ila mihemuko yake yote na hisia zake ni za kike , na ikitokea mtoto wa kike kazaliwa na hormones za testosterone basi huyo ni umbile la kike ila mihemuko yake na hisia ni za kiume.

Kwahiyo ushoga siyo swala la tabia za kuiga wala malezi ni hormones za kuzaliwa nazo yaani hata upige ugalagaze huwezi kumbadili tabia shoga awe mwanaume kama wengine ni sawa na kumpaka rangi albino awe mweusi haiwezekani ni swala la kibailojia.
Bila shaka uyu jamaa ni mkenya. Tayari ameshakazwa uzungu kichwani. Usiamini kila unachoambiwa na wazungu. Hiyo bayoloji ni wazungu nd wamekuletea na wameandika wanachotaka wao, na umeshanasa ktk mtego wa wazungu. Swali langu ni je, ukipata mtoto wa kiume alaf akawa shoga vp utamuacha t kwasbb nd ulivomzaa et
 
Ushoga ni Roho kamili iingiliyo watu na kuwatumikisha. Kiasili na kiuumbaji ni ngumu sana mwanaume kuingiliwa au kumuingilia mwanaume mwenzake bila kuwa na external force inayo mdrive. Angalia wanyama wengine wa asili, dume hawezi mpanda dume mwenzie na hiyo ndio nature na uumbaji wa Mungu. Hii ya wanadamu ni mapepo yanayowaingia na kuwa pelekesha ndio chanzo na Wala sio hizo blah blah za kisayansi. Nature ya mwanaume ni kutamani mwanamke na ndio maana tunakatazwa tusitamani kwenye dini zetu.

Hivi ni nani asiyetaka kuila mbususu kama ya mabeto au Uwoya eti wewe ndiwe ugongwe. Yaani uache kukojolea sehemu nzuri vile za wanawake eti wewe ndio ukojolewe na mwanaume mwenzio. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Achana nao ukijua biolojia wala huwezi kujisumbua. Hao ni wanawake wamezaliwa kwenye mwili wa kiume, ni kasoro za hormones tu ila ni binadamu kama wewe tu, endelea na maisha yako acha mungu ndo atoe hukumu.

Ukiishi nao vizuri mbona wengine ni majiniaz kabisa na wana michongo ya maisha...
We jamaa bazazi kweli
 
Bila shaka uyu jamaa ni mkenya. Tayari ameshakazwa uzungu kichwani. Usiamini kila unachoambiwa na wazungu. Hiyo bayoloji ni wazungu nd wamekuletea na wameandika wanachotaka wao, na umeshanasa ktk mtego wa wazungu. Swali langu ni je, ukipata mtoto wa kiume alaf akawa shoga vp utamuacha t kwasbb nd ulivomzaa et
"Wameandika wanachokitaka wao" sio kweli bro. Kumbuka biology zao hizohizo ndio zinawezesha kupandikiza mimba kwa wale wanaopata changamoto ya kushika mimba. Biology zao izoizo ndio zinatupatia dawa na matibabu mbalimbali ikiwemo ya upasuaji...

Na ukizaa mtoto shoga unatakiwa ufanye nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye ukweli lazima tuseme,

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, wala hausiani na matatizo ya akili au mwili, na sio ugonjwa.

Maana hata km ni hoja ya hormonal imbalances bado haileti mantiki au sababu mtu awe shoga. Couz unaweza kuwa na matatizo ya hormone na bado kuwa straight tena rijali haswaaa.

Na hata km itakuja hoja ya uhanithi, bado haileti maana mtu awe shoga, anaweza kuwa hanithi na akawa hivyo na asiwe shoga.

Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, ila huwa tunasingizia ni ugonjwa au matatizo ya hormone, ila ni uongo mtupuuu.

Yaan hata awe shogaa mzoefu kiasi gan, ila akiamua kuukataa na kuachaa anaweza kabisaaa tena bila shida, ila yeye muhusika ndo aamue kwa dhati.

Ushoga ni uraibuuu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye ukweli nasimamia hapo,
Vp huyu ndy alikuwa anampa mauno almasi jukwaani

Ova
Screenshot_20230227_214517_Chrome.jpg
 
Sio kwa binadamu tu. Baadhi ya wanyama wamekua observed na hili pia, mfn penguins na simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Blah blah hizo. Mimi nafuga Mbuzi, Ng'ombe na Mbwa sijawahi ona Mbuzi dume akipandwa na Mbuzi dume au Ng'ombe dume akipandwa na Ng'ombe dume. Sijawahi ona Mbwa dume kwa dume wakipandana na hata hiyo link yako hakuna sehemu wamesema Simba dume anampanda simba Simba dume mwenzio.
 
Blah blah hizo. Mimi nafuga Mbuzi, Ng'ombe na Mbwa sijawahi ona Mbuzi dume akipandwa na Mbuzi dume au Ng'ombe dume akipandwa na Ng'ombe dume. Sijawahi ona Mbwa dume kwa dume wakipandana na hata hiyo link yako hakuna sehemu wamesema Simba dume anampanda simba Simba dume mwenzio.
Mm nilishawahi kuona bull dog wanapanda mbwa koko dume. Walimvamia huyo mbwa wakaanza kumpiga then wakambaka na wakamuua kwa kumchana chana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom