Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kipya kinyemi!
Mida kabla wakury ukimwambia wee basha yuko tayari kupigana, lakini ukimwambia wee msenge anafurahi mii msenge bana![emoji56][emoji38][emoji38] walikuwa hawajui maana ya maneno hayo![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Lakini siku hizi wana test yao kwa mashogä utasikìa jamba tuone ikilia kama honi anapiga makofi anaamini wamo ni mnato akisikia pa pa papapapaaa pwaaa utasikìa unataka kuniibia chimba au chukua buku...[emoji56][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziii hapaaa khaaah
 
Twende kwenye mada.
Kabla ya kupondea au kukemea jambo ni vyema ukajisafisha kwanza wewe mwenyewe ndipo uje ukemee huo ushoga.
Kwa mganga wa kienyeji hukatiki mguu, ukipitia changamoto kidogo tu unakimbilia kijijini kuroga.
Kazi umepata kwa rushwa, kazini kila siku unaiibia serikali , wake za majirani unawafanya wake zako
Yet unajifanya Mtakatifu na kupondea ushoga.
Swali: Huo utakatifu wa kuuponda ushoga umeutoa wapi?
Sheria za torati ziko hivi; ukiivunja moja wewe unahesabiwa umekipuuza kitabu chote .
Mimi sio shoga na sili mashoga ila napinga unafiki wa mtu mweusi kujihesabia haki .
Bora usemee wee.
 
PAMOJA na kuomba lakini Kuna vitu vya kuomba na Vya kuchukua hatua. Ikatokea Burundi Imeivamia Rwanda ,hatuwezi kuomba Bali tunachukua hatua ya kupambana kumwondoa adui baada ya kuomba.

Mfano uhalifu kama Panya road ,Rushwa ,matumizi mabaya ya Mali za umma, ukabila,udini, unyanyasaji ,kukosekana Kwa maadili n.k. Haya yanaondoka kutokana na Sheria Kali zinazowekwa na jamii.
Kama Jamii haiweki Sheria Kali na haisimamii haya mambo. Waombaji watanusurika mmoja mmoja lakini kama Taifa Mungu hatanyamaza.
Na Kwa Sasa Mungu anaahirisha mabaya kutokana na Utii Wa Kristo Yesu Hata Mauti ilipomkuta. Leo wanapokea misaada ya mashoga Ili tu wakafanyie starehe. Taifa limejiingiza kwenye starehe za ajabu. Starehe zenyewe ni uzinzi,ulevi ,Ushoga,Usagaji na kivaa madhahabu, nguo Fupi,nywele za bandia na kuvaa suaruali zilizochanika na suruali za taiti. Mambo Yote ni Chukizo Kwa Mungu mana yameondoa Hata ubinadam na Huruma Kwa wahitaji. Udanganyifu umekua Mwingi. Hakuna anayeogopa Tena habari ya Jehanam,watu wanaogopa kukosa pesa ya starehe lakini SIO habari ya Jehanam.

Hiví Kwa Mfano : Shule imekutwa na vitabu Vya kuhamasisha Ushoga na Ndoa za jinsia Moja na ngono za utototoni lakini hatukusikia MTU akipelekwa mahakamani Wala polisi. Watu WALIOFANYA hivyo walipaswa kuuawa lakini tunasikia tu Kila mmoja akilalamika Badala ya kuchukua hatua. Nani Yuko Nyuma ya uovu huo?

Shule zinahamasisha kupoteza kizazi cha Mtanzania Kwa sababu tu Kuna MTU anapata pesa akainufaishe familia yake ambayo nayo itaangamia lakini SERIKALI inalalamika Badala ya kuzifungia na wenyeshule hizo kuwekwa wazi Ili ikiwezekana Jamii isome albadiri na Hata kuitaifisha . Na mwenyewe kuwekwe gerezani au kunyongwa.

SERIKALI ndiyo iliyopewa nafasi ya kusimama katika Haki na kulipa kisasi Kwa Wahalifu. Ukiona SERIKALI inaogopa kukupa kisasi au kuwaadhibu wakosaji Ujue SERIKALI hiyo Haina watu waadilifu mana anayepaswa kulipa kisasi ni lazima awe mwadilifu na asiyefanya kosa kama Hilo.

Tangu Demokrasia imeingia na mambo ya usawa Wa kijinsia ni kweli kuwa Nchi nyingi za Kiafrika hazina Tena Uelekeo Wa maendeleo endelevu Kwa Miaka mingi ijayo.Uzalendo umekufa kifo Cha Mende.

Wakati Wa Bunge la chama kimoja lililokuwa na wabunge wengi wanaume ,uzalendo ulikua ni Mkubwa sana na Jamii Ilikuwa na umoja na mshikamano Mkubwa na Sheria zilifuatwa Kwa Haki ,usawa watu WOTE walitii Sheria. Sheria zilitungwa Kwa manufaa ya wengi.
Chaajabu Tangu Jamii iingie kwenye usawa wa kijinsia na Bunge kuelekea kwenye nusu Kwa nusu kati ya Wanaume na wanawake ,uzalendo umepotea,Sheria zinatungwa kulinda maslahi ya watawala ,Kila MTU anawaza nafsi yake. Bunge hakijadili mambo Kwa ajili ya Vizazi vijavyo , Jamii Haina Tena MTU anayeweza kuzilinda kimaadili na kisheria. Zinatungwa Sheria kandamizi Kwa wanyonge , Sheria za Vikokotoo, mishahara ya watawala ,majaji, wabunge imekua ndiyo maendeleo ya nchi Sasa mana huko ndiko pato la nchi linakoishia. Sharia kandamizi Kwa wafanyakazi inatungwa na Bunge lenye wanawake wengi na wanapiga makofi na kufurahia Jinsi Jamii inavoangamia Kwa kukosa Uelekeo alimradi tu Sasa Panaibuka wanawake wenye pesa kuliko wanaume.

Na Sasa Watoto Wa kiume hakuna anayeweza Sheria Kali ya kuwalinda dhidi ya Taasisi na watu wanaohamasisha Ushoga. Mpaka Spika anakaa kimya na Hata kuwanyamazisha wabunge wanajaribu kuwasemea watoto Wa Kiume.
Taifa kitakalokua na Wanaume dhaifu litakuja kuvamiwa na kutawaliwa kirahisi sana muda SIO Mrefu. Mataifa makubwa yanalenga kuitawala Afrika Hata Kwa kuivamia. Taifa lenye wanawake wabaguzi haliwezi kuwazuia wanaume watakaokuja kama Wapelelezi na wavamizi katika Bara la Afrika. Watakuja wanaume watanashati,wenye pesa na elimu na ujuzi watawalaghai watawala na wakuu Wa vyombo Vinavohusika amabo wengi watakua ni wanawake na nchi zitachukuliwa na Watoto wenu watakua mateka wapende wasipende. Afrika itamezwa na kutawaliwa kiuchumi na kijamii.

Aliyeleta mfume dume ni Mwanamke na atakayeleta mfume Jike ni Mwanamke. Yote ni Kwa sababu Mwanaume hakutaka kumtii Mungu na kusimama katika Sheria za Mungu. Baadae atakayelaumiwa ni Mwanaume.
Tatizo hili halijaletwa na wala haliendelezwi na wanawake. Na kama wanahusika, basi si zaidi ya wanaume. Wanaume ndio wakulaumiwa zaidi, si ndio wateja?
 
Sasa kumbe sio matakwa yao kuwa mashoga bali ni Hormone im-balance. Basi tusiwatenge tuwaonyeshe upendo na Wapatiwe elimu ya Ujinsia wapate kucontrol Mind set zao
Mwanadamu na ugunduzi mbalimbali, kweli ameshindwa kupata jinsi ya kuzifanya hizo homoni ziwe katika uwiano?
Maana watu wanatumia dawa kudhibiti tabia na akili ambazo hazijatulia (mood swings).
 
Asante sana.

Kuna siku ukipata akili kasome Logic filtration, namna wazungu wanafanikiwa kueneza ajenda zao Afrika. Nataka nikuulize, kwanini Afrika ushoga unakuwa kwa kasi wakati ndio ukanda ambao Ushoga unapingwa vikali?

Ukiweza kinijibu, njoo urudi hapa ukiwa kwenye calm minds, mnakurupuka ndio mana wanawashinda.
Mkileft magroup ya wanaume huwa mnatoa vihoja vya kishenzi kweli
 
Mkileft magroup ya wanaume huwa mnatoa vihoja vya kishenzi kweli
Si unaona sasa wewe mwenyewe, jambo la kutumia akili na busara, unakuja na matusi. Acha watuburuze tuu, yani wewe ndio ujenge hoja ya kukomboa jamii? [emoji2] Labda kama nina kichaa, nitakuelewa
 
kuna baba mmoja tena inawezekana humu yumo alikuwa anawapanda watoto wa watu.
sasa na yeye wakwake wanampanda na ndiye mtoto anayemtunza baba yake.
 
kuna baba mmoja tena inawezekana humu yumo alikuwa anawapanda watoto wa watu.
sasa na yeye wakwake wanampanda na ndiye mtoto anayemtunza baba yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mla vya watu na vyake huliwa.
 
Haya mambo ni external conditions za maendeleo.

Ili vijana waweze kusoma unahitaji maabara, mabweni, madarasa, vitabu, lakini unawaleta wanafunzi pale wengine wanafeli, wengine wanapasi.

Ili kujenga nyumba unahitaji kiwanja, simenti, mchanga, vifaa, foreman. Haya mambo yote ni external lakini ipi kazi kubwa ya kurekebisha roho za watu ili waweze kuwa productive au kama Father Kimaro alivyosema watu wengine wanafanya kazi vizuri lakini ni wezi?

Sasa, hawa manabii wananichekesha sana mambo wanayosema, lakini huyu mmoja nilikuwa namsikia sasa hivi naona labda kweli katumwa na Yesu. Anasema Mungu amekaribia kuiadhibu Tanzania kwa sababu vitendo vya ushoga vimezidi.

Internal conditions za kuleta maendeleo lazima zizingatiwe. Maneno kama, mimi ni bingwa wa uchumi, wewe ondoka hapa na mambo yako ya uganga wa kienyeji hayafai.
 
Mjadala mzuri sana huu, ila kuna ndugu zetu ambao ukiwashinda hoja wanakutukana, nadhani tungekuwa na busara jamii yetu ingekomboka kutoka kwenye huu utumwa, mtu unampa hoja ili mfikie "Muafaka" anakuita wewe 'Shoga' kisa tuu, umemuuliza swali ambalo kimsingi ameshindwa kulijibu.

Mimi nitabaki pale pale kwenye swali langu, otherwise nijibiwe.

"Kwanini Mapenzi ya Jinsia moja (Ushoga) unakuwa kwa kasi Afrika, ilhali ni moja kati ya ukanda unaopinga vikali ajenda hii duniani?"
 
Tuendako vijana wengi wanapenda utandawazi na maisha bwerere (chawa) watajitokeza wazi bila tashwishwi.
 
Jamii ndo inalea ushoga. Mashoga, Walawiti, Wafiraji wanatakiwa Wauawe.
Tofauti na hapo tutaona ninkawaida
 
Back
Top Bottom