cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hatareeee tupuu.Noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatareeee tupuu.Noma sana
Ngoja waarabu weusi kutoka huko wakushukie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naskia na huko Zanzibar imekua baada ya nyumba Kuna shoga1,baada ya nyumba shoga nikweli????
Hii haitoki ila kwa kufunga na kuomba,there is rejuvenating of devil spirits attacked our people [emoji24][emoji24][emoji24]Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar
Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar
Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao
Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu
Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8
Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
PAMOJA na kuomba lakini Kuna vitu vya kuomba na Vya kuchukua hatua. Ikatokea Burundi Imeivamia Rwanda ,hatuwezi kuomba Bali tunachukua hatua ya kupambana kumwondoa adui baada ya kuomba.Hii haitoki ila kwa kufunga na kuomba,there is rejuvenating of devil spirits attacked our people [emoji24][emoji24][emoji24]
Wee .sio dog Fulani hivi mweupee nywele zake nyingi nyingi mnene mnene hivi...!!!Sahihi kabisa leo nilikuwa maeneo ya msikiti wa mchongomani nimekutana na kijana kwakwel Malinda mule n neh neh yaan kwisha dogo anatikisa tako kwakujiachia na saut nyororo bila woga
Vingunguti imeanza kuoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waarabu weusi kutoka huko wakushukie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah mkuu utakuwa unamjua vizuri mwonekano n huohuoWee .sio dog Fulani hivi mweupee nywele zake nyingi nyingi mnene mnene hivi...!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa wee Mlongo kwann huwa unaenda hapo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kuwaonaa eeeeh???Dah mkuu utakuwa unamjua vizuri mwonekano n huohuo
Kwa Sasa kijiwe Chao n Titanic bar pale relini hasa mida ya saa 4 usiku
Kunyongwa sio solution. Watibiwe kama watu wenye matatizo ya akili wanavotibiwa.Ushoga ni janga kama measures halichukuliwi ni tatizo kubwa,hata huku jf ni tatizo kubwa wapo wengi tuu ,nafikiri adhabu iongezwe watu wanyongwe,wahanga wakubwa ni watoto wa kiume
Yes. Tatizo linaanzia kwenye ubongo wake, pengine mpaka kwenye hormones.Ilo ni tatizo la kibaiolojia mkuu
Sasa kumbe sio matakwa yao kuwa mashoga bali ni Hormone im-balance. Basi tusiwatenge tuwaonyeshe upendo na Wapatiwe elimu ya Ujinsia wapate kucontrol Mind set zaoYes. Tatizo linaanzia kwenye ubongo wake, pengine mpaka kwenye hormones.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida hawa watu ukiwaambia ivo wanachukia, wanataka tuuwe watu... hahah. Pope alivosema hili wakaanza kusema ana support ushoga. Ukilisema hili wanasema unasupport ushoga.Sasa kumbe sio matakwa yao kuwa mashoga bali ni Hormone im-balance. Basi tusiwatenge tuwaonyeshe upendo na Wapatiwe elimu ya Ujinsia wapate kucontrol Mind set zao
Wewee ndo mzazi boraaaa sanaaaa.Shida hawa watu ukiwaambia ivo wanachukia, wanataka tuuwe watu... hahah. Pope alivosema hili wakaanza kusema ana support ushoga. Ukilisema hili wanasema unasupport ushoga.
Mm binafsi nikiwa na mtoto wa kiume ikatokea akawa anavutiwa na wanaume wengine sitotaka auwawe wala sitotaka aendelee kua shoga. Kuna njia za kumbadili tu najua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlongo Nina kibiashara changu uchwara maeneo hayo lazma nipite napoenda kufuata hesabuSasa wee Mlongo kwann huwa unaenda hapo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kuwaonaa eeeeh???
Mkuu unaweza kushare njia hizo za kumbadili kwa Faida ya wengi??Shida hawa watu ukiwaambia ivo wanachukia, wanataka tuuwe watu... hahah. Pope alivosema hili wakaanza kusema ana support ushoga. Ukilisema hili wanasema unasupport ushoga.
Mm binafsi nikiwa na mtoto wa kiume ikatokea akawa anavutiwa na wanaume wengine sitotaka auwawe wala sitotaka aendelee kua shoga. Kuna njia za kumbadili tu najua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh hapo sawaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlongo Nina kibiashara changu uchwara maeneo hayo lazma nipite napoenda kufuata hesabu
Kubadilika anaanza yeye kutaka muhusika, vunginevyoo atakua anaigiza.Mkuu unaweza kushare njia hizo za kumbadili kwa Faida ya wengi??
psychotherapyMkuu unaweza kushare njia hizo za kumbadili kwa Faida ya wengi??