Kwenye ukweli lazima tuseme,
Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, wala hausiani na matatizo ya akili au mwili, na sio ugonjwa.
Maana hata km ni hoja ya hormonal imbalances bado haileti mantiki au sababu mtu awe shoga. Couz unaweza kuwa na matatizo ya hormone na bado kuwa straight tena rijali haswaaa.
Na hata km itakuja hoja ya uhanithi, bado haileti maana mtu awe shoga, anaweza kuwa hanithi na akawa hivyo na asiwe shoga.
Ushoga ni maamuzi na matakwa ya muhusika, ila huwa tunasingizia ni ugonjwa au matatizo ya hormone, ila ni uongo mtupuuu.
Yaan hata awe shogaa mzoefu kiasi gan, ila akiamua kuukataa na kuachaa anaweza kabisaaa tena bila shida, ila yeye muhusika ndo aamue kwa dhati.
Ushoga ni uraibuuu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye ukweli nasimamia hapo,