Mbo Mpenza
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 445
- 1,114
Ukitoka huko na mijanaba yako ya kula Malaya wachafu wachafu wa kimboka unanenda kuwananga WALIMU.Hapo Kimboka wengi huwa wanakuja kuopoa Dada poa ndio maana mna vijigest uchwara vya short time ila jambo la ajabu na la kukera ni pale nataka kuopt demu wakwenda nae ghafla naona Dume jenzangu limejipanga kwenye mstari wa mademu na lenyewe linajiuza
Ebu litoeni bhana linatia kinyaa, halafu ni mtoto mdogo tu sijui kwanini mnashindwa kumchapa hata fimbo, juzi nilienda kumwambia ukweli aondoke anatudharirisha lakini cha ajabu madada poa wote wakawa wananitukana mpaka ving"asti vya pale vinamtetea yani kidogo nichapike maana nikaona kamebeba chupa ya konyagi kakanipiga mgongoni nyingine kidogo inipate kichwani
Sasa kama mnashindwa kumtetea mteja wenu wa pombe badala yake mnalitetea hilo shoga sijui akili zenu Zipo Sawa Sawa. Acheni mambo ya ajabu huyo shoga kwani hana pakwenda mpaka ajiuze sehemu za wanawake???.
Halafu kisumbufu kweli yani utakuta umetulia zako unakunywa bia kanakuja kuomba ukanunulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yani Dume lenye kengere zake nilinunulie bia. Ukilikatalia linaomba ukalipakue short time kwa buku tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani tigo unapata Kwa bei ya buku tatu, ukilikataa linakutukana
Walimu hawakukufundisha ukanunue Malaya walikufundisha madhara ya ngono na magonjwa ya zinaa.
Wewe ni hasara kwa familia yenu na Taifa
The lost cause so sad.