Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

iPhone na hizo mambo za laana wapi na wapi mkuu, mkitaka tuache kutumia iPhone mtengeneze basi hizo device zenye ubora zaidi ya iPhone mbona simple tu jamani.
 
Hiyo ni biashara kama biashara nyingine hakuna mahusiano na uchafu wanaousupport, kwani ni bidhaa ngapi tunanunua madukani na zimepigwa uchawi zikuvutie ukanunue,wafanyabiashara wengi wanafanya ndumba sana mbona tusiache basi kununua bidhaa zenye shiriki
 
Ko biashara na Shoga mnaweza fanyaa, ila ushoga wake haukuhusu??

Sasa mnapiga kelele za nn kupingaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ko biashara na Shoga mnaweza fanyaa, ila ushoga wake haukuhusu??

Sasa mnapiga kelele za nn kupingaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeelewa nilichosema ama umesimamia kuulinda ushoga ambao pia unakunufaisha
 
Umeelewa nilichosema ama umesimamia kuulinda ushoga ambao pia unakunufaisha
Labdaa km wee umeandika tofauti na nilivyosoma.ila nime elewa, najua ume kwepa swali langu

Nweiiiii tuishie hapa, relaaaaaaxxxx
 
iPhone na hizo mambo za laana wapi na wapi mkuu, mkitaka tuache kutumia iPhone mtengeneze basi hizo device zenye ubora zaidi ya iPhone mbona simple tu jamani.
Kwa taarifa yako Mimi napinga vikali ushoga, lakini pamoja na kupinga kwangu ushoga lakini ukweli utabaki palepale Mashoga ndio wanatawala dunia kwa Sasa.

Ukitafuta watu Genius 10 kwa Sasa basi 8 ni mashoga.

Mkumbuke post zangu za awali nimewapa darasa wasiojuwa kwamba mfiraji ni shoga pia.

Anayefira na anayefirwa wote ni gays, same apply kwa wanawake, anayemsaga mwenzake na anayesagwa wote ni Lesbian.

Cc: Halima Mdee na Esta Bulaya.
 
Wewe iphone unapewaga msaada kumbe duuh, si tunanunua aisee, tena zinatengenezwa China hizi, iphone ni brand name tu
 
Kumbe ndio michezo yako sikujua km ni mzee wa upinde
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kama huna iphone tulia post yA kijnga kweli kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…