cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Point yako mbona haina relation ya kifiro na iphone [emoji3]. Wafanyakazi wote wa apple ni mashoga? Yani tusitumie product fulani kisa tu mwanzilishi alikuwa shoga, ama walitangaza hizo iphone ni kwa ajiri ya mashoga[emoji3][emoji3] tafuta namna nzuri ya kuconnect mawazo yako