Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wee mchungaji sijui Sheikh nitolee juzuu yako hapa, hisia zangu na zinahusu nn na hayo uliyoandika? Uzinzi umekatazwaa wee huzini?

Mxieeeeeeeew!!!!
Nazini ila si fanyi mapenzi ayo yako
 
huo ndio mtandao wao wanaoutumia kuwasiliana
Sasa ule si uko Fb, na links iko telegram, ule ni mtandao wa gays cheap, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee vidampa unachukua kuleee?

Kuna app special za gays, tena whole World, unalipia, na unaingia kwa password, kabla ya ku create acc kuna sett na quns inatakiwa ujibu. Weraaaaaaaaaah.

Eti Pamoko, sasa si bora TGN. weuweeeeeeee!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni aibu kubwa

Kuna bwege mmoja alinitumia link ya Telegram nikaingia huko. Nilichokutana nacho ilinibidi nifunge siku nzima nikiomba TOBA kwa Mungu.

Vijana mahendisam wa kibongo wanapakuliwa mzigo na wanajiuza waziwazi na wanatuma vids zao wakinyooshwa marinda.

Wapo wanawake pia wanaishi kwenye trauma kubwa baada ya kugundua waume zao ni versatile yaani wanapakuliwa kinyume na maumbile.

Sikuwahi kufikiria kuwa bongo imekuwa nyoso hivyo. Nilidhani wapo wachache na Wanajificha mnoo. Jamaa nimemuhoji tangu lini yupo kwenye group za kununua mashoga wa kibongo kanijibu ni mwaka qa tatu sasa. Ananiambia kuwa wanaume wengi wanaoenda GYM huwa wanaenda kujiuza ama kununua wanaume wenzao.

Kama jamii, tunaweza kusema tunalaani na kukemea ushoga na usagaji lakini hao hao wanaokemea ndiyo wanunuzi ama washiriki wakubwa. Maeneo yaliyotia fora ni Tabata. Mbagala, Mbezi na Sinza.

Wazazi ni muhimu sana kuweka uangalizi chanya kwa watoto kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.

Hatari kubwa hii
Wasipokuomba link pm,niite nyau nimekaa pale
 
Sasa ule si uko Fb, na links iko telegram, ule ni mtandao wa gays cheap, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee vidampa unachukua kuleee?

Kuna app special za gays, tena whole World, unalipia, na unaingia kwa password, kabla ya ku create acc kuna sett na quns inatakiwa ujibu. Weraaaaaaaaaah.

Eti Pamoko, sasa si bora TGN. weuweeeeeeee!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mie sijui upi ni bora mie nauona huo kwa tanzania na una vituko vingi sana
 
unamaanisha grindr?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kule ndo wanako jidai gays wengi, couz n bundle tyuuh, hata mie napenda kwenda kusoma vituko vya gays hasa uswaahilini,

Pamoko bhanaaaaaa, zaid ya 2.3k members.
 
unamaanisha grindr?
Grinder nayo App sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilishapotezaaa mvutooooo kitamboooooo. Wamevamia maharamia kuleeee...

Hakunogiiii tena, kwanza kumepoaaaa hakna hata jambo
 
Sasa ule si uko Fb, na links iko telegram, ule ni mtandao wa gays cheap, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee vidampa unachukua kuleee?

Kuna app special za gays, tena whole World, unalipia, na unaingia kwa password, kabla ya ku create acc kuna sett na quns inatakiwa ujibu. Weraaaaaaaaaah.

Eti Pamoko, sasa si bora TGN. weuweeeeeeee!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimeupitia huo mtandao tgn muda huu
 
Back
Top Bottom