Michawi Mara nyingi Kuna kuwa na shababu za kulipizana visasi. Watu WENGINE wanatembea na wake za watu au wamedhulumu au Kuna Chuki za kifamilia ndio Maana wachawi HAWANA Shida sana na Wageni kama HAWANA tatizo nao?
Uchawi mara nyingine ni makafara Yao lakini MTU akiwa na Imani ya Mungu wanashindwa. Kuna Dua za kushinda huzo nguvu au Kinga lakini pia Teknolojia na elimu inapunguza sana uchawi.
Lakini Ushoga Kwa nini wafanyiwe watoto Ili tu wabadilike na kuwa mashoga au Mabasha.
Yaaani mtoto Mdogo Kweli ,MTU anapewa pesa na Wazungu Ili sharibu kizazi kuzima Tena Kwa Kasi KUBWA sana .
Hata ngono Kwa watoto Wa Kike kadogo SIO jambo la kufumbia macho sembuse Watoto Wa kiume?
Sijui Kwa Nini hamna huruma au nyie ni mapadri hamna watoto Kama Yule Wa kule Italia haoni shida kuiweka bayana kuwa vitendo hivyo sio Sawa kufundishwa watoto. Hakuna anayezaliwa akiwa shoga au Basha Bali anafundishwa.
Mtaro Wa Mavi hauna sense ya hamu ya ngono bila kufundishwa na kuzoea kama njia ya starehe. Mbona bangi na gongo wanakatazwa watoto wasitumie.?
Mbona mambo Mengi wanasema yasifanywe na Watoto chini ya miaka 18 . ?
Iweje wanaofindisha watoto kumlawiti waonekene ate wamezaliwa Wakiwa hivyo .Yaaani Mwanaume amezaliwa akiwa na hamu kinyume na maumbile lakini watoto wake hataki wafanyiwe hivyo ila Wa wenzake ni halali kuharibiwa.
Kuna mmoja alimbaka mtoto Wa kufikia Wa miaka nane akamlawiti na kumchanachama Sehemu za Nyuma na mbele.
Sikuwepo pale mtaani nilipofika nikakuta tu michirizi ya damu nyumba ya Yule jamáa, nikasimuliwa na kuambiwa eti amepelekwa kituo cha polisi na wanaume kabisa na akili ZAO.
Niliwalaumu sana kumpeleka hotelini (Polisi) Yule MTU Badala ya kumalizana Naye.