Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kaka kuweni makini; kuna vyakula vingi sasa hivi vimeingia Tanzania .. vyakula hivyo zinavuruga hormonies za kiume, moja ya dalili kuwa tayari hormonies zako zimevurugwa ni kukosa hamu na tendo la ngono, tendo la ndoa pili unaanza kujitenga na jinsia ya kiume.. baada ya hapo unajua kinachofuatia...
Najitahidi mno kuilinda familia yangu dhidi ya hivyo vyakula vya kigeni
 
Mkjukuu unataka kukiwasha sasa
Wewe mtu nahisi kabisa wewe ni BASHA..Nilikua nakuheshimu sana ila siku nilipoona unaomba connection ya mashoga nilikuona kama bua tu mwenye heshima hapa JF.
Unapenda sana kuongelea ushoga wee mzee kwanin?
Punguza kushinda mitandaon labda itakusaidia kuflash ushoga ulotawala kichwa chako.
 
Hivi kamati haijazungumzia vijana wa makumbusho wauza simu?
Vijana wa makumbusho kuna mwaka wali-trend wa biashara za unga ndomana walitajirika haraka. Pale ni karibu na Mzena na makazi maalum ya watu wa "I/O" (wanaonielewa watanielewa) wakaanza movement zao za uchunguzi wa siri wakathibitisha ni kweli na wakaanza ku-deal nao mmoja mmoja. Wapo walioonywa na wapo waliopewa adhabu kabla hawa vijana hawajachachamaa na kuwa ma-mogul... ndo mana makumbusho yote mule stand "i/o" saiv wengi kufuatilia wale vijana wafanyabiashara wote kama wameacha au bado wanaendelea ili ipite adhabu rasmi ya kuwakata vidole na kuwatoboa macho na kuwakongoroa meno na kuwaulia mbali.

Saiz pako shwari wanafanya biashara halali. Ushoga si sana kwa wale vijana ila mashoga wanakuja sana maeneo yale.
 
Vodonge vya uzazi mpango wameona inachelewesha, Covid imeshindikana sasa ni mwendo wa kupunguza kizazi kwa namna ya kuharibu wanaume. Na kwa nini hili limekuja kwa kasi kipindi hiki?

Madhara ya kushindwa kuzuia tumbo, mwili usitetemeke ndiyo haya sasa. W
 
Vodonge vya uzazi mpango wameona inachelewesha, Covid imeshindikana sasa ni mwendo wa kupunguza kizazi kwa namna ya kuharibu wanaume. Na kwa nini hili limekuja kwa kasi kipindi hiki?

Madhara ya kushindwa kuzuia tumbo, mwili usitetemeke ndiyo haya sasa. W
Kampeni ni nyingi na majaribio ni mengi
 
Hivi inakuwaje majitu kama j.lokole wanapewa airtime sana
Mule mjengoni mwao naona kama wanawafuga hao

Ova
Nyuma ya pazia kuna mengi machafu na ya kutia kinyaa ambayo wahusika hawayaweki wazi upenuni penye macho ya wengi
 
IMG-20230329-WA0172.jpg
 
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika. Ni utamaduni Uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi

Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko. Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia, wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika.

Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa

Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii. Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa. Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia. Mambo ya six packs. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!

Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je, tuhuma zile ni za kweli? Je, ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?

Mshana Jr achana na kitambi cha Halison na yule mwenzake dada mwenye 2T yaani tumbo na titis wasiojua maana ya mazoezi.
Kashfa zao hizo za kuwaambia watu wa mazoezi ni mashoga hazina mashiko.

Ushoga ni tabia za watu na kila pahala hata huko kanisani kwao upo, uandishini wao wa habari upo, maofisini upo nk nk.

Wao kama wanaona wivu wanaume kupanga miili wakanyanyue na wao vyuma.
 
Ni kampeni ya vikundi vikundi haina impact kivile.. Mikwara ni mingi sana lakini naifananisha na joka la mdimu ama joka la kibisa... Serikali ndio inapaswa itoke hadharani kukemea, kulaani na kuukataa ushoga, kitu ambacho sidhani kama kitawezekana
Wakitoka hadharani kukemea watapata wapi misaada na fwedha za bwerere
 
Back
Top Bottom