Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Marekani haifaidiki na chochote wewe ukiwa Papai,Mostly of us ,we settle on Consequence ila hatujaweza kabisa kuangalia mzizi wa Matatizo yaani sababu kukuu ya Serikali ya marekani kuhangaika kusapoti Ushoga kwa kiasi na Kasi kubwa.
Tukitaka kujua Tatizo lazima tujue,Kwanza U .S wanafaidika na Nini katika hii agenda yao?? Au ndiyo Wanataka kutugeuza zombie@@@@ utani ila kuna jambo wamelitaget kulifanya siku za mbele.
What's that?
Wanachokifanya ni kusapoti Haki za Binaadam, kwa maana Binaadam wote wapo sawa na wana haki sawa, itakua ni ujinga kuhutubia umoja na mshikamano kwa Rangi zote duniani huku kuna jamii nyingine wanatengwa na kunyanyaswa