THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
Endelea......
Nilifanikiwa kumuibia mzee baadhi ya fedha zake japo zengine nyingi aliziifadhi kwenye kadi yake ya benki nikatoka nazo nikaelekea bara la ulaya nchini Italy coz kule kuna jamaa yangu nilisoma nae collage .Alinikaribisha vizuri akataka kunitambulisha kwa mkewe . Alitambulika kwa jina la Nancy. Baada ya muda wa dakika 5 hivi tukiwa in master room . Mke wake alikuja "oh MY GOD again" uyo mke mtu nae ni shoga japo alikuwa na jina la kike alaf ana sura ya kiume kabisa hata sauti yake ina mkwaruzo flaan hivi
nikajisemea "hapa si mahali pa kukaa kabisa inaonekana sijafika mashariki"Kwakuwa ilikuwa ni usiku tayari nikasema acha ni pumzike alaf kesho asubuhi nifunge safari.
Itaendelea kipande cha mwisho