Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,577
Nimejaribu nimeshindwa mkuu.Mungu huangazia jua lake wema na wabaya.
Usiwachukie Mkuu waombee tu
Yanakera sana.
Hata humu yanaongoza kwa kuongea matusi yale makubwa makubwa.
Majitu hayana utu wala utashi.
Unakuta jitu linaelezea bila tafsida vile linavyofyokolewa.
Ukiniona nawaombea ujue nawaombea kifo tu