Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

togetherTight

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
99
Reaction score
100
Wakuu Salaam,

Gazeti la Mwananchi limeandika ukurasa wa mbele kuwa ACT-Wazalendo kimepata viti vinne vya ubunge bila kutaja majimbo yenyewe.

Nauliza ni majimbo gani hayo ambayo ACT kimeshinda?

Au ni yale ya Zanzibar?

Screenshot_20201031-080342.png
 
Wasifungue internet tena, wafunge hivyo hivyo watu waache uchochezi! Hao wabunge wanne imekuwaje wamepatikana?

Hao wabunge wa CCM walioshindwa waende mahakamani wakadai haki yao! Haiwezekani upinzani ushinde, kwa kipi walichofanya?

Bunge linatakiwa liwe la CCM kwa miaka mitano! Pinga pinga hatutaki!

Au tuwanunue yaishe,,
 
Kwa idadi hiyo, vyama vya upinzani vinaruhusiwa kuingiza wabunge wangapi kwa mgomgo wa viti maalumu ubunge!?
Issue sio idadi ya majimbo bali kura. So far tukiassume matokeo ya tume ndio halali ina maana kura za ubunge CHADEMA ni zaidi ya 2m na ACT ni kma laki 1 implying kuwa CHADEMA inaweza pata viti 15 na ACT haitopata hata kimoja. So bado KUB itakua CHADEMA kwa wabunge 16
 
Kwa maana hiyo; wakipatikana "cream of the cream" 15 toka CHADEMA na kujitoa mhanga wa kwenda vitani kupitia Bungeni -; na huku nje yakawekwa mashambulizi ya kudumu, hapo bado haiwezekani kuikomboa nchi hii?

Wapinzani ni lazima wajipime, na kuamua njia watakazotumia 'kuendeleza' mapambano.

Hapana, sio 'kuendeleza', bali sasa iwe ni 'kuanza' rasmi mapambano mapya.
 
Back
Top Bottom