zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Njia zote zikifeli za kurudia uchaguzi inabidi tu wachaguliwe hiyo cream ya wajenga hoja ili sasa wakawe chachu ya kuwapa ushawishi CHADEMA bungeni kuelekea 2025!!Kwa maana hiyo; wakipatikana "cream of the cream" 15 toka CHADEMA na kujitoa mhanga wa kwenda vitani kupitia Bungeni -; na huku nje yakawekwa mashambulizi ya kudumu, hapo bado haiwezekani kuikomboa nchi hii?
Wapinzani ni lazima wajipime, na kuamua njia watakazotumia 'kuendeleza' mapambano.
Hapana, sio 'kuendeleza', bali sasa iwe ni 'kuanza' rasmi mapambano mapya.
Vyovyote itakavyokuwa ni lazima huku nje waweke presha ya tume huru otherwise hyo 2025 ndio itakua CCM 100%