Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

Bado CDM itaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni na wale wabunge wanawake jasiri wanarudi bungeni. Hicho kiti kimoja kinatoa wabunge zaidi ya 25
Safari hii kambi ya upinzani bungeni itakuwa na wanawake watupu, hakuna gender balance.
 

Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
 
Wakuu Salaam,

Gazeti la Mwananchi limeandika ukurasa wa mbele kuwa ACT kimepata viti vinne vya ubunge bila kutaja majimbo yenyewe.

Nauliza ni majimbo gani hayo ambayo ACT kimeshinda?

Au ni yale ya Zanzibar?
View attachment 1616360
Yaani hawa mazwazwa ndiyo wamekwisha kabisa kisiasa kwa sasa, wanatia huruma sana. Vyama vyao inabidi wawaangalie wasije kujiua.
 
Sema wabongo tumekuwa kama makhanisi aisee..tunaminywa minywa tu na hutuwezi kufanya lolote..What the point ya kurestrict social media hadi leo jumamosi?
Tuache aisee na ukhanisi wetu. Kwani kupakuliwa shs ngapi! Tena mtuletee majemedari wa toka Zanzibar wale wala urojo waje tushuulikia kisawasawa maana twawasha. Twanyevukwa na vijidudu mboleani.
 
Sema wabongo tumekuwa kama makhanisi aisee..tunaminywa minywa tu na hutuwezi kufanya lolote..What the point ya kurestrict social media hadi leo jumamosi?
Inamaana wewe hufahamu sababu ya mitandao kufungiwa au ndio ukhanisi wenyewe?
Uchaguzi ni jambo kubwa lazima visababishi vyovyote vya uvunjifu wa amani vizuiliwe
 
Kwa idadi hiyo, vyama vya upinzani vinaruhusiwa kuingiza wabunge wangapi kwa mgomgo wa viti maalumu ubunge!?
Zile buku7 mwisho wake umekuja maana upinzani hautakuwepo na sijui mtaandika tena kitu gani ili mpate pesa..
Subirini kuolewa Tu hapa mjini
 
Yaani hata kama wananchi wana mahaba kwa ccm siyo haya aisee!

Nchi nzima mixer Visiwani upinzani jumla viti vinne???hii haiyumkiniki kabisa yani!
 
Wasifungue internet tena, wafunge hivyo hivyo watu waache uchochezi! Hao wabunge wanne imekuwaje wamepatikana?

Hao wabunge wa CCM walioshindwa waende mahakamani wakadai haki yao! Haiwezekani upinzani ushinde, kwa kipi walichofanya?

Bunge linatakiwa liwe la CCM kwa miaka mitano! Pinga pinga hatutaki!

Au tuwanunue yaishe,,
Wakishinda CCM kura zimeibiwa wakishinda Upinzani uchaguzi ulikuwa wa haki ni ajabu ilioje. WANANCHI NI WABAYA KUSHINDA WAJUMBE
 
Anza wewe Toa Kalio lako mbele
Umejificha Na Id Fake

Wewe MOTOCHINI acha kauri za kibwege kwa wenzio bana. Alafu wewe jamaa kuna kipindi uliibiwa na kupigwa mapanga ukaja kulia lia hapa jf. Jaribu kua na akiba ya maneno hao unaowatukana wanaweza kua faraja kwako siku moja. Kama siku hiyo uliyoibiwa hizo pole ndo faraja yenyewe.
 
Mmezidi unyonge na nyinyi, mnasubiri kila kitu mpiganiwe na viongozi wa upinzani, huu ni muda wa kila anayejitambua kuikataa serikali ya kiimla kwa vitendo.
Kama una ubavu onyesha mfano mkuu.
 
Bado CDM itaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni na wale wabunge wanawake jasiri wanarudi bungeni. Hicho kiti kimoja kinatoa wabunge zaidi ya 25.
Kumbe mbeleko ipo?
 
No new as a good news., Everything cooked.,
 
Back
Top Bottom