togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Mmezidi unyonge na nyinyi, mnasubiri kila kitu mpiganiwe na viongozi wa upinzani, huu ni muda wa kila anayejitambua kuikataa serikali ya kiimla kwa vitendo.Watu wanataka internet irudi hawataki kuskia chochote so far...!
Maisha lazima yaendeleeWatu wanataka internet irudi hawataki kuskia chochote so far...!
Anza wewe Toa Kalio lako mbeleMmezidi unyonge na nyinyi, mnasubiri kila kitu mpiganiwe na viongozi wa upinzani, huu ni muda wa kila anayejitambua kuikataa serikali ya kiimla kwa vitendo
Haina haja hata ya hivyo viti. Hilo Bunge tunawaachia wenyewe.Kwa idadi hiyo, vyama vya upinzani vinaruhusiwa kuingiza wabunge wangapi kwa mgomgo wa viti maalumu ubunge!?
Issue sio idadi ya majimbo bali kura. So far tukiassume matokeo ya tume ndio halali ina maana kura za ubunge CHADEMA ni zaidi ya 2m na ACT ni kma laki 1 implying kuwa CHADEMA inaweza pata viti 15 na ACT haitopata hata kimoja. So bado KUB itakua CHADEMA kwa wabunge 16Kwa idadi hiyo, vyama vya upinzani vinaruhusiwa kuingiza wabunge wangapi kwa mgomgo wa viti maalumu ubunge!?
Kwamba hujui kuwa unchokitumia hapa ni internet! Ndiyo wapigiga kura wa tobo aseeh...Watu wanataka internet irudi hawataki kuskia chochote so far...!
Kwa maana hiyo; wakipatikana "cream of the cream" 15 toka CHADEMA na kujitoa mhanga wa kwenda vitani kupitia Bungeni -; na huku nje yakawekwa mashambulizi ya kudumu, hapo bado haiwezekani kuikomboa nchi hii?Issue sio idadi ya majimbo bali kura. So far tukiassume matokeo ya tume ndio halali ina maana kura za ubunge CHADEMA ni zaidi ya 2m na ACT ni kma laki 1 implying kuwa CHADEMA inaweza pata viti 15 na ACT haitopata hata kimoja. So bado KUB itakua CHADEMA kwa wabunge 16