Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

Njia zote zikifeli za kurudia uchaguzi inabidi tu wachaguliwe hiyo cream ya wajenga hoja ili sasa wakawe chachu ya kuwapa ushawishi CHADEMA bungeni kuelekea 2025!!

Vyovyote itakavyokuwa ni lazima huku nje waweke presha ya tume huru otherwise hyo 2025 ndio itakua CCM 100%
 
Mmezidi unyonge na nyinyi, mnasubiri kila kitu mpiganiwe na viongozi wa upinzani, huu ni muda wa kila anayejitambua kuikataa serikali ya kiimla kwa vitendo.
Sawa keyboard warrior. anza wewe tuone, pumbavu sana
 
Kama una ubavu onyesha mfano mkuu.
Hahahaha...ww jamaa bana wakati unashangilia udhalimu kumbuka na ww mlija wako wa buku saba umekwenda kuzikwa rasmi.....Jiandae kupiga mizinga wa nduguzo.
 
Kuikomboa nchi🤔?
 
Katiba mpya tu
 
Ni kweli ndugu yangu
 
Hahahaha...ww jamaa bana wakati unashangilia udhalimu kumbuka na ww mlija wako wa buku saba umekwenda kuzikwa rasmi.....Jiandae kupiga mizinga wa nduguzo.
Hahah!

Tuanze kujifariji na zile picha tulikuwa tuna edit kwenye mikusanyiko ya kampeni tulikuwa tunamaanisha umma tunakubalika.
 
Watu wakina nani? Nyie MATAGA waimba mapambio mlijua net ikizimwa itazimwa kwa wapinzani tu.Wacha dawa iwaingie!

Hahahah kumbe nawe mpinzani pole sana kwa kukojolewa kama anavyokojolewa mwalimumkuumamaako...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…