Vitisho vya Azana

Hao ndo wazee ninowazungumzia yani usikute anaweza akaadhini tena yeye na usikute wengine feni haliwashwi bila ya Amri yake ohoooooo

Kaa nao mbali wazee kama hao
Temeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa
 
Sio adhana tu hata mikengere, mi spika ya walokole kama kina gwajima inarusha vitisho kila siku.
Dini imejengwa kwa vitisho, bila vitisho hizi dini zote zinajifia.
Njia za kuita watu kwenye nyumba za ibada ni primitive in technological world! Miaka hii hatuhitaji sana public speaker kuitana zipo njia za kiteknolojia kama sim alarm nk.
Mtu mzima kama mimi unaniita eti nije kusali huo kama si utoto ni nini ? Yasbi mie sijui muda wa kuswali mpaka uniite.
 
Kwa mantiki hii unanifanya nione Msikitini wamejaa Waganga
Kuhusu ibada mzee mungu haangalii wengi na kila mtu aikane nafsi yk na amtafute kwa muda wake
We kweli mwehu πŸ˜‚

Ukijua msemo wa "Safari ya Mamba na kenge wamo" sidhani kama kuna haja ya kubishana... makanisani wanaingia wachamungu wote?! Wengine jumapili wakitoka humo makanisani wanaenda kupigwa Gangbang huko
 
Temeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa
Hhhhhhhh unaona sasa hao wazee kaa nao mbali aisee

Dah ila hukumu yake ipo tu siku ya masiku itakapofika
 
Shida maspika yana piga mikelele,tumieni watsap group kupiga azana.
 
Temeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa

[emoji28][emoji28]
 
Shida maspika yana piga mikelele,tumieni watsap group kupiga azana.
Nilikuwa nakuheshimu sana bwana Jiwe angavu, nimegundua na wewe ni HOVYO KABISA KUMBE!

huko makanisani kwenu mnadanganyanaga kupitia WhatsApp groups pia nyie WAPUMBAVU?!
 
Nilikuwa nakuheshimu sana bwana Jiwe angavu, nimegundua na wewe ni HOVYO KABISA KUMBE!

huko makanisani kwenu mnadanganyanaga kupitia WhatsApp groups pia nyie WAPUMBAVU?!
Huyo jiwe la waash we mwache.kikubwa omba ufe katika njia iliyonyooka.sisi na watoto wetu.
Ukiona mtu anapuliziwa kopo la dawa ya mbu kusudi apate uokovu unatakiwa hata vipele vya barid vikupate kwa jins mwenzako alivo katika giza nene. Lau mungu akimjaalia uongofu ataongoka lakina akitaka yeye mwenyewe.au watu wanakanyagwa kanyagwa au wengine wamejifungia wamekufa bila kula kiufup ni giza totoro.
 
Sasa upuuzi wao wote huo hawauoni. Wamekazania mada za majini na kuuza dawa misikitini.

Cha kusikitisha jitu linaleta uzi kuhusu maneno mazito yenye ukweli ndani yasiyomuhusu yeye anayeamini anachokiamini na kwamba yanamuhusu... eti anakuja kuyafungulia uzi maneno yasioyomuhusu kwamba yanamtisha. Si wehu huu ?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We kweli mwehu πŸ˜‚

Ukijua msemo wa "Safari ya Mamba na kenge wamo" sidhani kama kuna haja ya kubishana... makanisani wanaingia wachamungu wote?! Wengine jumapili wakitoka humo makanisani wanaenda kupigwa Gangbang huko
Soma Tena ulichoandika deduct hoja zako utajua unelekea wap
 
Ha ha ha ha mbavu zangu
 
Hiyo sio adhana bali ni kelele tu adhana maneno yake ni machache sana ayachukui zaidi ya dakika 5 kama vipi nenda serikali za mitaa,lakini ukumbuke na vilio vya warokole usiku kucha majirani hawalali
Huu mtaa serikali imejaa was mlengo Hui man waliwashitak walokole kuwa wanawasunbua usiku ila wameshindwa kuwashitaki waroma

Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…