Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Temeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.Hao ndo wazee ninowazungumzia yani usikute anaweza akaadhini tena yeye na usikute wengine feni haliwashwi bila ya Amri yake ohoooooo
Kaa nao mbali wazee kama hao
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa