Vitisho vya Azana

Vitisho vya Azana

Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hayo maneno uliyoyaandika siyo adhana, hao ni wanadi sala, kitu ambacho hakipo kwenye mafundisho ya Kiislam. Ni utamaduni uliojijenga toka wakati hakuna vipaza sauti na hujitolea mtu kupita nyumba hadi nyumba kuamsha Waislam. Mara nyingi hao hupatikana maeneo yenye Waislam wengi, tena utamaduni huo siku hizi umepotea sana. Nakushauri uhame tu maeneo yenye Waislam wengi au chukulia positive kuwa wanakuamsha uwahi shughuli zako. Wacha uvivu, sala ni bora kwako kuliko usingizi.

Adhana ni hii:

Wito wa sala (adhan) hutolewa mara tano kwa siku na muadhin kuwakumbusha Waislam kuja kwenye sala ya faradhi na kuacha mambo ya kidunia nyuma.

Jinsi gani wito wa adhana unafanywa?​

Mtu anayefanya adhan anaitwa muadhin, inaitwa kwa Kiarabu.

Wakati wa adhan, Waislam wanapaswa kuacha na kuisikiliza. Neno adhan lenyewe linamaanisha "kusikiliza".

Haya ndiyo yanayosemwa katika adhan; Maneno ya kwanza yanasemwa mara nne na mengine mara mbili.

Allahu Akbar - Mungu ni Mkubwa

Ashhadu an la ilaha ila Allah - nashuhudia kwamba hapana mungu ila Mwenyezi Mungu Mmoja.

Ashadu anna Muhammadan Rasool Allah - Nashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu

Hayya 'ala-s-Salah - Hurry to the Prayer (Wake Up for Prayer)

Hayya 'ala-l-Falah - Haraka kwa mafanikio (Rise up for Salvation)

Assalatu khairum-minan-naum - Sala ni bora kuliko usingizi (Sehemu hii inasomwa tu kwa sala za asubuhi.)

Allahu Akbar - Mungu ni Mkubwa

Ilaah illa Allaah hapana mungu ila Mungu Mmoja tu.

Muadhans kawaida huchaguliwa kulingana na tabia nzuri na / au renditions yao ya kusonga ya adhan. Adhans maarufu zinaweza kusikilizwa mtandaoni.

Umuhimu wake ni nini?​

Adhan hutolewa mara tano kwa siku kuwakumbusha Waislam kuja kwenye sala ya lazima (faradhi) na kuacha mambo mengine yote nyuma.
 
Kaka unaijua adhana kweli? Hicho ulichoandika sio adhana
 
Huyu yy si Muislamu kwaio anakisema kile ambacho anakisia kutoka kwa baadhi ya waislamu

Wala usimlaumu
 
Mzee huofii watu wanajadili majin kuliko Mungu wakiongea kitu km hchi au huwa mnaona kawaida
Hakuna chochote kinachonipa hofu!

Na sio kweli kwamba uislam kazi yao ni kujadili majini... wewe unakutana na washirikina na waganga wauza dawa na wadanganya wanawake na mazuzu, wanatumia dini kujinadi na kushirikusha uganga wao, ushetani na dini.

Wewe endelea kuona hayo yanayozungumzwa kuhusu swala ni vitisho... na wakati unaoelezwa ni ukweli mchungu ambao kila mwana-Adam anapaswa kuusikia!

USINGIZI NI MFANO WA KIFO, KABURINI ARDHI NDO KITANDA CHAKO NA MTO NI MFANO TU WA DONGO AMBALO SOTE WAISLAM TUTALILALIA TUKIWA TUMEELEKWEZA UBAVU WA KUSHOTO... TUSIMAMISHE IBADA TUTAJUTA! HAKUNA VITISHO PALE, YOTE NI TA KWELI.
 
Hayo maneno uliyoyaandika siyo adhana, hao ni wanadi sala, kitu ambacho hakipo kwenye mafundisho ya Kiislam. Ni utamaduni uliojijenga toka wakati hakuna vipaza sauti na hujitolea mtu kupita nyumba hadi nyumba kuamsha Waislam. Mara nyingi hao hupatikana maeneo yenye Waislam wengi, tena utamaduni huo siku hizi umepotea sana. Nakushauri uhame tu maeneo yenye Waislam wengi au chukulia positive kuwa wanakuamsha uwahi shughuli zako. Wacha uvivu, sala ni bora kwako kuliko usingizi.

Adhana ni hii:

Wito wa sala (adhan) hutolewa mara tano kwa siku na muadhin kuwakumbusha Waislam kuja kwenye sala ya faradhi na kuacha mambo ya kidunia nyuma.

Jinsi gani wito wa adhana unafanywa?​

Mtu anayefanya adhan anaitwa muadhin, inaitwa kwa Kiarabu.

Wakati wa adhan, Waislam wanapaswa kuacha na kuisikiliza. Neno adhan lenyewe linamaanisha "kusikiliza".

Haya ndiyo yanayosemwa katika adhan; Maneno ya kwanza yanasemwa mara nne na mengine mara mbili.

Allahu Akbar - Mungu ni Mkubwa

Ashhadu an la ilaha ila Allah - nashuhudia kwamba hapana mungu ila Mwenyezi Mungu Mmoja.

Ashadu anna Muhammadan Rasool Allah - Nashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu

Hayya 'ala-s-Salah - Hurry to the Prayer (Wake Up for Prayer)

Hayya 'ala-l-Falah - Haraka kwa mafanikio (Rise up for Salvation)

Assalatu khairum-minan-naum - Sala ni bora kuliko usingizi (Sehemu hii inasomwa tu kwa sala za asubuhi.)

Allahu Akbar - Mungu ni Mkubwa

Ilaah illa Allaah hapana mungu ila Mungu Mmoja tu.

Muadhans kawaida huchaguliwa kulingana na tabia nzuri na / au renditions yao ya kusonga ya adhan. Adhans maarufu zinaweza kusikilizwa mtandaoni.

Umuhimu wake ni nini?​

Adhan hutolewa mara tano kwa siku kuwakumbusha Waislam kuja kwenye sala ya lazima (faradhi) na kuacha mambo mengine yote nyuma.
Shida mbona mchana na jioni hawasemi maneno ya vitisho Kama alfajr
 
Hakuna chochote kinachonipa hofu!

Na sio kweli kwamba uislam kazi yao ni kujadili majini... wewe unakutana na washirikina na waganga wauza dawa na wadanganya wanawake na mazuzu, wanatumia dini kujinadi na kushirikusha uganga wao, ushetani na dini.

Wewe endelea kuona hayo yanayozungumzwa kuhusu swala ni vitisho... na wakati unaoelezwa ni ukweli mchungu ambao kila mwana-Adam anapaswa kuusikia!

USINGIZI NI MFANO WA KIFO, KABURINI ARDHI NDO KITANDA CHAKO NA MTO NI MFANO TU WA DONGO AMBALO SOTE WAISLAM TUTALILALIA TUKIWA TUMEELEKWEZA UBAVU WA KUSHOTO... TUSIMAMISHE IBADA TUTAJUTA! HAKUNA VITISHO PALE, YOTE NI TA KWELI.
Kwa mantiki hii unanifanya nione Msikitini wamejaa Waganga
Kuhusu ibada mzee mungu haangalii wengi na kila mtu aikane nafsi yk na amtafute kwa muda wake
 
Kaka unaijua adhana kweli? Hicho ulichoandika sio adhana
Nimeandika Hy maana matamshi haya yanaambatana na TUKIO la Adhana
Mmoja anaanza na kuita mwenzie, Bila Adhana wanaweza kuanza na matamshi Hy kweli ?
 
Ukiona mtu anaamshwa Ili akaswali huyo ni mvivu.
 
Mda huo unapewa cha asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23], na unasikia habari za kitanda chako ndio kaburi lako[emoji23][emoji23][emoji23]

Kufa ni lazima.
😂😂😂Usiombe mkae jirani na muadhini aisee na awe smekuona janayake umesimama na mshkaji 😂😂😂😂
 
Mwanadamu utakiwi saa kumi na moja ikukute kitandani bado umelala.
Mjini inatakiwa uamke saa kumi na nusu
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Ni maneno ya ovyo sana ya kulaani wengine tu hayo. Hakuna kitu napingana nacho kama hicho.
 
Wkt unatafuta sehemu ya kuishi angalia sn mazingira unayopenda mfano asilimia kubwa ya wakazi wa Dar ni Islamic so you need to be selective,maeneo ya mbagala magomeni tandika tandale na wilaya ya Tmk asilimia kubwa ni Islamic nenda tegeta Mbezi zote 2 majority ni Christian ingawa kuna misikiti but sikm huko nilikokutajia so better panga sehemu inayoendana na unabyopenda ww
 
Wanaingilia hadi mambo binafsi ya faragha.
Utasikia "mwache mwenzio sasa"
Haalah.
 
Anayekupigia hizo kelele unakuta ametoka kulala na mke wa mtu. Siku ya kiama sijui itakuwaje aisee
Yani ni hatari sana haya mambo siku ya kiama itakuwa mfarakano manake binadamu wa siku hizi wengi hovyo sana
 
Back
Top Bottom