Vitisho vya Azana

Vitisho vya Azana

mimi ni muislamu wa swala 5, nikisema ukweli misikiti mingi inatumia adhana vibaya' kwanza adhana haitikiwi ulete maneno mengi haijafundishwa hivyo adhana inatakiwa iwe nyepesi na ya haraka sio unatoa adhana kwa kulemba kama unaimba na muda mrefu dini imekataza imekemea sana lingine mtu anae adhini asubuhi hujatumwa kutuambia sasa hivi saa kumi kamili mara tena sasa hivi saa kumi ja moja hapana hapana naijua dini yangu vizuri sana hii inakatazwa na hao wanaofanya hizi adhana ni hao wasoma maulidi na bakwata dini hajui
 
Jamaa angu umeniwahi, nikipata uongozi katika hii nchi, ntaruhusu azana pekeyake, mambo mengine watumie speaker za ndani,

Sasa mtu ameshatoa azana bado anasema maneno kibao utadhani wote wanaomsikia ni waislam, af wengi ni wazee wanamaneno ya ajabu sana.

Kuna mmoja aliwahi sema eti hiyo boda yako, ni kaburi unaweza anguka nayo. Khaaa inahusu?

umeongea point mimi ni muislamu nimekubaliana na wewe na hayo ndio mafundisho ya dini ya kiislamu hawa waislamu salafi au wahabi wako vizuri sana kwa mambo ya ibada wao ni adhana tu baada ya hapo wanatumia spika za ndani msikiti wao upo mbele ya klabu ya yanga wanatazamana jangwani ni mwingine ilala mbele ya polisi pangani sokoni
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Sa si uhame tu, Bangi za chooni zinasumbua Sana
 
Kwakweli watumiane hizo swala kwenye ma group ya watsap.
 
Mi naona adhana ni nzuri, sawa na kengere la Roma tu, zinatukumbusha kusali na kujitafakali.
 
Jamaa angu umeniwahi, nikipata uongozi katika hii nchi, ntaruhusu azana pekeyake, mambo mengine watumie speaker za ndani,

Sasa mtu ameshatoa azana bado anasema maneno kibao utadhani wote wanaomsikia ni waislam, af wengi ni wazee wanamaneno ya ajabu sana.

Kuna mmoja aliwahi sema eti hiyo boda yako, ni kaburi unaweza anguka nayo. Khaaa inahusu?

Kuna mzee nilimuona k.koo anatembea na PA anasema wanawake waache kuvaa nguo za nusu uchi na kubana[emoji28],nikaona huyu mzee bogas kabisa dunia ya sasa kupangiana mavazi ni ujinga,akatoe mahubiri msikitini ndio watamsikiliza sio k.koo.
 
Kama sio dini yako wala imani yako inakuaje hivyo vitisho wewe vinakugusa na kukushtua na kukufanya usilale mida hiyo?!

Kama wewe ni muamini Kristo jilalie zako achana na hivyo vitisho... kama wewe ni mmoja wao hao watoa vitisho... ACHA UJUAJI WE MPUMBAVU, AMKA USWALI UTAJUTA! HAKUKUWA NA SABABU YA KULETA UZI HUMU KAMA WEWE NI MMOJA WAO.
 
Back
Top Bottom