Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
- Thread starter
-
- #161
Mmhh mh si watu wa Mchezo hwTemeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa
pinga baraka za ushoga adhana itakuwepo mileleUmekula lakini ile kitimoto yako?
wewe ni muongo acha kucheza na imani za watu munaanzisha chokochoko munataka nini kwa waislamu wamewakosea nini waislamu nendeni kwa viongozi wenu wawaelekeze vizuriWaarabu wenyewe hawatishani hivi... Dubai wamekataza hizi kelele
Asione Fransi.pinga baraka za ushoga adhana itakuwepo milele
mkuu pia ni bora kuliko bikra 72Swala ni Bora kuliko usingizi
hamuoni upuuzi wenu kila kona mahubiri yenu na spika zenu usiku kucha mnapiga kelele eti maombi hali yakuwa mpo wake za wenzenu mukisherehekea tunda la bwana na sasa mumeongeza na ushoga ikawa haitoshi mukabariki kabisa wabarikiwa hongereni mumetishaNiliwahi kumpiga marufuku mpuuzi mmoja alikuwa analeta upumbavu kama huo yaani saa 9 anaanza kuleta ujinga wake kwenye vipaza sauti nilimtia mikwara akaacha wakawa wanaadhini kawaida tu pale muda unapofika....tunalala ili tupate utulivu wa kivipi tutauondoa umaskini kwenye jamii wao wanaleta upuuzi wao
Hizo enzi na enzi hawakuwa na maspikaHivi vitu vilikuwepo toka enzi na enzi na watu walijifunza kuishi navyo
Siwezi kukubushia, inawezekana ulikuwepo.Hizo enzi na enzi hawakuwa na maspika
Mambo ya ajabu sanaMimi toka nimsikie sheikh mmoja kupitia swala anasema "Ww endele kusherehekea mwaka mpya jua kaburi lako linakaribia...mwez wa tatu nikapoteza mdogo wangu sina hamu nao kabisa'
Tatizo lake binti unaongea kama unanijua vile au upo period? Mimi mtaani kwangu nishawahi kuwapiga mkwara wakatoliki fulani hivi wanadizaini kama walokole vile nadhani wanaitwa wakarmatiki sijui...nikamwambia mwenye nyumba ambaye alikwakaribisha kwake sitaki kero mtaani na walijaribu kuleta ligi ila walishindwa mwishoni wakahama sijui umenielewa mrembohamuoni upuuzi wenu kila kona mahubiri yenu na spika zenu usiku kucha mnapiga kelele eti maombi hali yakuwa mpo wake za wenzenu mukisherehekea tunda la bwana na sasa mumeongeza na ushoga ikawa haitoshi mukabariki kabisa wabarikiwa hongereni mumetisha
Sijui hata kama atapata chance ya kutoka na kuleta hyo report.Nenda ukawatie makonzi huko huko Msikitini alafu subiri delivery report
Daaah mkuu umenikumbusha nipo shule moja ya dini pentecostal.Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
nakupongeza mamaa ilaelekea ulijifungua watoto bila maumivu kwa ujasiriTatizo lake binti unaongea kama unanijua vile au upo period? Mimi mtaani kwangu nishawahi kuwapiga mkwara wakatoliki fulani hivi wanadizaini kama walokole vile nadhani wanaitwa wakarmatiki sijui...nikamwambia mwenye nyumba ambaye alikwakaribisha kwake sitaki kero mtaani na walijaribu kuleta ligi ila walishindwa mwishoni wakahama sijui umenielewa mrembo
Jifunze kuandika msichana mimi kiasili ni jasiri mno vipi nije kutoa posa kwenu nikuoe?nakupongeza mamaa ilaelekea ulijifungua watoto bila maumivu kwa ujasiri
Umeandika kishosti mnoIna maana unaogopa hadi movie za kutisha? Wewe ni bonge moja la sissy.
Wanazingua sanaDaaah mkuu umenikumbusha nipo shule moja ya dini pentecostal.
Muda wa devotion ni saa11 kamili sasa viongozi wanakuja kutuamsha kwenye bed baada ya kengere kupigwa.
sasa kuna kiongozi alikuwa anapita na maneno ya vitisho anasema amka tukamuombe mungu, wewe endelea kulala ndio maana unafeli, unaona mambo magumu na vitisho vingine.
siku moja akamfata jamaa huyu alikuwa wa pili darasani piga ua, baada ya kengere kupigwa akamfata akaanza kumuamsha, jamaa akamwambia mim naumwa akamuacha baada ya kutoka devotion tumerudi, akamuambia wewe nakuamsha unasema unaumwa wewe ni mpinga kristo.
Jamaa akamjibu mpinga kristo ndio anayekuongoza na huna uwezo wa kunipita pamoja na maombi yako.
๐๐๐๐ปdaaah yule jamaa kamaliza MUHAS.
Sijui kwanini huwa lazima watumie maneno ya vitisho.