Vitisho vya Azana

Vitisho vya Azana

Temeke, kata ya sandali mtaa wa mpogo kuna mzee kigogo wa msikiti.
Weka mbali na watoto.
Kuna jamaa aliulizia michango na sadaka vinafanya kazi gani? Mwisho akatoa pendekezo pajengwe mahali pa kuoshea maiti. Mtoa mada akawa wakwanza kuoshwa
Mmhh mh si watu wa Mchezo hw
 
Niliwahi kumpiga marufuku mpuuzi mmoja alikuwa analeta upumbavu kama huo yaani saa 9 anaanza kuleta ujinga wake kwenye vipaza sauti nilimtia mikwara akaacha wakawa wanaadhini kawaida tu pale muda unapofika....tunalala ili tupate utulivu wa kivipi tutauondoa umaskini kwenye jamii wao wanaleta upuuzi wao
 
hamuoni upuuzi wenu kila kona mahubiri yenu na spika zenu usiku kucha mnapiga kelele eti maombi hali yakuwa mpo wake za wenzenu mukisherehekea tunda la bwana na sasa mumeongeza na ushoga ikawa haitoshi mukabariki kabisa wabarikiwa hongereni mumetisha
 
Tatizo lake binti unaongea kama unanijua vile au upo period? Mimi mtaani kwangu nishawahi kuwapiga mkwara wakatoliki fulani hivi wanadizaini kama walokole vile nadhani wanaitwa wakarmatiki sijui...nikamwambia mwenye nyumba ambaye alikwakaribisha kwake sitaki kero mtaani na walijaribu kuleta ligi ila walishindwa mwishoni wakahama sijui umenielewa mrembo
 
Nakumbuka miaka hiyo nikienda Kwa BABU yangu kiwalani BOMBOM
Kuna mzee anazunguka mitaa ya KIWALANI nyumba nyumba UCHOCHOLO kutoke mtaa wa pili
Basi anapitana DEBE analipigapiga na GONGO huku ananadi swala na maneno kama hayo yaani hiyo utake usitake utaamka tu
Sema ndo hvyo mitaa Ile waislam walikuwa zaidi ya 90% hakuna aliyekuwa analalamika
Ila shughuri ilikuwa pevukwelikweli
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.

Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Daaah mkuu umenikumbusha nipo shule moja ya dini pentecostal.

Muda wa devotion ni saa11 kamili sasa viongozi wanakuja kutuamsha kwenye bed baada ya kengere kupigwa.

sasa kuna kiongozi alikuwa anapita na maneno ya vitisho anasema amka tukamuombe mungu, wewe endelea kulala ndio maana unafeli, unaona mambo magumu na vitisho vingine.

siku moja akamfata jamaa huyu alikuwa wa pili darasani piga ua, baada ya kengere kupigwa akamfata akaanza kumuamsha, jamaa akamwambia mim naumwa akamuacha baada ya kutoka devotion tumerudi, akamuambia wewe nakuamsha unasema unaumwa wewe ni mpinga kristo.

Jamaa akamjibu mpinga kristo ndio anayekuongoza na huna uwezo wa kunipita pamoja na maombi yako.
😂😂🙌🏻daaah yule jamaa kamaliza MUHAS.

Sijui kwanini huwa lazima watumie maneno ya vitisho.
 
Tatizo lake binti unaongea kama unanijua vile au upo period? Mimi mtaani kwangu nishawahi kuwapiga mkwara wakatoliki fulani hivi wanadizaini kama walokole vile nadhani wanaitwa wakarmatiki sijui...nikamwambia mwenye nyumba ambaye alikwakaribisha kwake sitaki kero mtaani na walijaribu kuleta ligi ila walishindwa mwishoni wakahama sijui umenielewa mrembo
nakupongeza mamaa ilaelekea ulijifungua watoto bila maumivu kwa ujasiri
 
Daaah mkuu umenikumbusha nipo shule moja ya dini pentecostal.

Muda wa devotion ni saa11 kamili sasa viongozi wanakuja kutuamsha kwenye bed baada ya kengere kupigwa.

sasa kuna kiongozi alikuwa anapita na maneno ya vitisho anasema amka tukamuombe mungu, wewe endelea kulala ndio maana unafeli, unaona mambo magumu na vitisho vingine.

siku moja akamfata jamaa huyu alikuwa wa pili darasani piga ua, baada ya kengere kupigwa akamfata akaanza kumuamsha, jamaa akamwambia mim naumwa akamuacha baada ya kutoka devotion tumerudi, akamuambia wewe nakuamsha unasema unaumwa wewe ni mpinga kristo.

Jamaa akamjibu mpinga kristo ndio anayekuongoza na huna uwezo wa kunipita pamoja na maombi yako.
😂😂🙌🏻daaah yule jamaa kamaliza MUHAS.

Sijui kwanini huwa lazima watumie maneno ya vitisho.
Wanazingua sana
 
Maisha ni kuvumiliana kero zako karaa kwa wengine hata wewe kwa Imani Yako au jambo lako mna mengi mnawakera wengine wanavumilia tu
 
Back
Top Bottom