Daaah mkuu umenikumbusha nipo shule moja ya dini pentecostal.
Muda wa devotion ni saa11 kamili sasa viongozi wanakuja kutuamsha kwenye bed baada ya kengere kupigwa.
sasa kuna kiongozi alikuwa anapita na maneno ya vitisho anasema amka tukamuombe mungu, wewe endelea kulala ndio maana unafeli, unaona mambo magumu na vitisho vingine.
siku moja akamfata jamaa huyu alikuwa wa pili darasani piga ua, baada ya kengere kupigwa akamfata akaanza kumuamsha, jamaa akamwambia mim naumwa akamuacha baada ya kutoka devotion tumerudi, akamuambia wewe nakuamsha unasema unaumwa wewe ni mpinga kristo.
Jamaa akamjibu mpinga kristo ndio anayekuongoza na huna uwezo wa kunipita pamoja na maombi yako.
😂😂🙌🏻daaah yule jamaa kamaliza MUHAS.
Sijui kwanini huwa lazima watumie maneno ya vitisho.